Polisi Kumi Kila Kata Arumeru Mashariki

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,996
2,494
Ndugu Wanajamvi.

Arumeru mashariki sasa itapewa polisi kumi kila kata kuimarisha ulinzi.
kinachonisumubuA ni nini hasa lengo la kugawa polis hao?

1. je uhalifu umeongezeka sana au?
2. au lengo ni kuwatisha wananchi kuhusu kushiriki kampeni/

Ombi langu kwa polisi kumi kumi., msiwe watumwa, mwisho wa siku lolote likitokea tunawalaumu nyie wakati walowatuma wako maofisini wakila kiyoyzi, na lawama zikizidi wanakuja kwenye media kuwageuka kuwa hawakuwatuma kupiga watu.
ninyi na ndugu zenu mko mitaani kwetu changanyikeniu wakati wanaowatuma wako oysterbay na masaki, njiro na sakina.
 
ni strategy mpya ya lowasa na kundi lake'kwa taarifa hawa wananchi wa hapa hawaogopi polisi
 
EL yuko kazini tayari,lengo ni kuwanyima wakazi wa arumeru mashariki nafasi ya kutafakari na kuchukua maamuzi sahihi kuelekea kampeni za uchaguzi Jimboni humo.
Wanajua kama wananchi wakitafakari kwa kina, basi watakuja na jibu la NO kwa ccm.

Lakini mleta habari hii bado hujatuambia chanzo cha habari hii tafadhali.
 
Mkuu NGUVU ya UMA kila nyumba ushauri wako kwa askari hao kumikumi ni wa msingi sana lakinim sijui kama watakuwa wanajitambua yote kwa yote Sku yao inakuja
 
wapeleke na wanajeshi mbona hao hawatoshi.inanikumbusha siku mbowe amepelekwa Arusha na jeshi.
 
Pongezi kwa Jeshi la polisi kwa kuweka ulinzi Arumeru.
 
Wameshakula mlungula kutoka kwa mapredeshee wa CCM. Hakuna shaka pesa itarudi tu, ila kwanza status iwepo. Natamani watu wote tuikatae CCM.
 
wanamlinda nani?

Wanawalinda Wananchi wa Arumeru Mashariki pamoja na mali zao.

Kama wewe unaona Arumeru pako salama kwa nini Lema kapewa walinzi wa jadi zaidi ya 300?
 
Ndugu Wanajamvi.

Arumeru mashariki sasa itapewa polisi kumi kila kata kuimarisha ulinzi.
kinachonisumubuA ni nini hasa lengo la kugawa polis hao?

1. je uhalifu umeongezeka sana au?
2. au lengo ni kuwatisha wananchi kuhusu kushiriki kampeni/

Ombi langu kwa polisi kumi kumi., msiwe watumwa, mwisho wa siku lolote likitokea tunawalaumu nyie wakati walowatuma wako maofisini wakila kiyoyzi, na lawama zikizidi wanakuja kwenye media kuwageuka kuwa hawakuwatuma kupiga watu.
ninyi na ndugu zenu mko mitaani kwetu changanyikeniu wakati wanaowatuma wako oysterbay na masaki, njiro na sakina.

Wachache sana ila tunawashauri wawe wapole tu maana Meru siyo Igunga
 
Wanawalinda Wananchi wa Arumeru Mashariki pamoja na mali zao.

Kama wewe unaona Arumeru pako salama kwa nini Lema kapewa walinzi wa jadi zaidi ya 300?

Mbona Igunga hawakuwalinda raia na mali zao? Yawezekana wanapohusika ccm au wenyewe polisi kuua basi hakuna hatua zilizochukuliwa. Na hilo hata wewe unalifahamu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom