Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

Mkuu kukujibu kwa ufupi ni kuwa aliyefanya huyo kijana ndio ujinga, ujinga wake ni kudhalilisha kwa kujificha kwenye kigezo cha kuchekesha, he deserves more than that

Asiyestahili kuwa kule ni yule asiyefanya ujinga km wa huyo kijana
Ujinga ni nini?

Ujinga wake ni nini?

Anastahili vipi kuwa kule?

Asiyestahili kuwa kule ana sifa gani?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mkuu kukujibu kwa ufupi ni kuwa aliyefanya huyo kijana ndio ujinga, ujinga wake ni kudhalilisha kwa kujificha kwenye kigezo cha kuchekesha,he deserves more than that

Asiyestahili kuwa kule ni yule asiyefanya ujinga km wa huyo kijana
Unaelewa kwamba ana haki za kikatiba kufanya alichofanya?

Haki za kikatiba ni ujinga?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kudhalilisha ni haki za kikatiba?
Kudhalilisha ni nini na comedy ni nini?

Kipanya anavyomchora rais, anamdhalilisha?

Kipanya naye ashitakiwe kwa kumdhalilisha rais?

Seif Sharif Hamad alichekwa kwa suti kubwa.

Mbona hatukuona mtu kufungwa?

Magufuli ni mtu zaidi ya Seif Sharif Hamad?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kama huwezi kutofautisha kati ya kudhalilisha na comedy sina la kukusaidia brother
Kudhalilisha ni nini na comedy ni nini?

Kioanya anavyomchora rais, anamdhalilisha?

Kipanya naye ashitakiwe kwa kumdhalilisha rais?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kitu anachotengeneza Magufuli, kitakuja ku back fire vibaya sana hapo baadae
Endeleeni kuota, hakuna mtanzania aliye timamu asoona yanayofanywa na wasaliti wa Taifa, October sio mbaya ndo mtaelewa kumbe watukanaji mitandaoni hawafiki hata 2% ya wapiga kura wote, mfano mdogo tu,

mitandaoni 98% walidhihaki tangazo la watu wajimwage mitaani, kwa hali ya kawaida usingetegemea kuona mtu mtaani lakini kilichotokea unajua, someni alama za nyakati, hao wanaowapampu wala hawapo nchini weshakimbia, mtanyooshwa vizuri sana na mkiingia mitaani tutawanyoosha vizuri sana hapo ndo mtaiona nguvu ya umma mnayoiimba kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kuota, hakuna mtanzania aliye timamu asoona yanayofanywa na wasaliti wa Taifa, October sio mbaya ndo mtaelewa kumbe watukanaji mitandaoni hawafiki hata 2% ya wapiga kura wote, mfano mdogo tu, mitandaoni 98% walidhihaki tangazo la watu wajimwage mitaani,...
Kuna wasaliti na mafisadi kwenye nchi kuwazidi nyinyi MATAGA ?
 
Mkuu unachotaka ni nini?

Nimekwambia alichofanya huyo kijana sio comedy ni udhalilishaji

Still reapiting the same question!
Why

Then unaizingumzia roast katika mkitadha gani?
Unajua nini kuhusu comedy?

Unafahamu "roast" ni nini?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom