Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

Duh ni kweli unamapenzi makali kiasi hicho kwa huyo mkuu wa nchi?
Sorry wewe ni Ke au Me?

Mapenzi yako sio salama kwa mke wake you know! Please control your emotions on him utaharibu ndio ya watu
Sina tabia ya kupumulia watu visogoni, hasira zenu za vyeti feki na kuzuiliwa mafuta yenu pendwa pendwa ziishie kwa Ummy ndugu wali, usijipendekeze kwangu situmii hiyo bidhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kisingizio cha kuigiza
Kuigiza kwenywe hajui

Akawafanyie comedy wazazi wake
Hata mimi naona jamaa sio comedian lakini kama kuna watu anawachekesha. Mimi ni nani hadi nianze kumuamlia ni nini afanye na maisha yake much less wewe

Kwa kifupi huwezi taja celebrities watano Tanzania ambao wapo endorsed na makampuni ukamuacha idris.

Sasa kama mtu huyu ambae unadhani anasaka umaarufu ambao "HANA", inakuwaje department za makampuni na mashirika makubwa kama UBER wamuamini kupromote brand yao
 
Hahahaha ungeweza kumsujudia muumba wa mbingu na nchi kama hivi hakika ungekuwa kiumbe makini sana sio mkamilifu hapana maana ukamilifu ni wa Mungu tu ajabu ni kwamba huyo mwanadamu unaemsujudia nae anampigia goti Mungu na ana makandokando telea anaomba msamaha kwa Muumba.
Sio kosa lako, tatizo ni shule kiasi kwamba hujui hata maana ya kusujudu, kusujudu ni kupiga magoti na kuinamisha kichwa mpaka paji la uso liguse ardhi, anayesujudiwa ni Mungu pekee kama ilivyo katika zile 10 commandments kwenye kitabu cha Musa cha kutoka (Exodus).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kosa lako, tatizo ni shule kiasi kwamba hujui hata maana ya kusujudu, kusujudu ni kupiga magoti na kuinamisha kichwa mpaka paji la uso liguse ardhi, anayesujudiwa ni Mungu pekee kama ilivyo katika zile 10 commandments kwenye kitabu cha Musa cha kutoka (Exodus).

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah sasa nani hapo hana shule soma post mwanzo kabisa inajieleza
 
This is a fishing expedition.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, sijawahi na wala haitokaa itokee nikasujudia mwanadamu, ni kwa sababu ya shule hivyo hujui maana ya kusujudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unamuogopa mwanadamu mwenzio wewe si mpumbavu? Una shule gani sasa inayokusadia wakat unampepelea binadamu kama Mungu halafu wewe kichwani hamna kitu kuna post huko unaulizwa hili una jibu lile yaaani tofauti kabisa unapaniki nini wewe mlamba miguu ya mwanadamu?
 
Baada ya hapo ndiyo mtakuwa mmefika uchumi wa kati?
Definitely, hakuna maendeleo pasipo na political stability, katika Taifa ambalo watu wanapambana usiku na mchana mambo yaende then akatokea mwendawazimu mmoja tu kwa maslahi yake binafsi atumiwe kuleta instability lazima ashughulikiwe, tulieni mtayajua mengi na hizo mi parody yenu ya tweeter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
trump mwenyewe picha zake zinachomwa moto mtaani, sanamu yake inakojolewa hadhani, anatupiwa adi mayai viza, huyo meko /jiwe wenu yeye nani adi picha yake isujudiwe?
 
Sasa kama unamuogopa mwanadamu mwenzio wewe si mpumbavu? Una shule gani sasa inayokusadia wakat unampepelea binadamu kama Mungu halafu wewe kichwani hamna kitu kuna post huko unaulizwa hili una jibu lile yaaani tofauti kabisa unapaniki nini wewe mlamba miguu ya mwanadamu?
Mpumbavu wewe Mungu hapepelewi, maandiko yanatushurutisha kuzitii mamlaka maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, kama kutii ni kuogopa acha iwe hivyo ili nitimize agizo la Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema akiachiwa Rais magufuli ndio atakua hajatendewa haki wote tunajua wazaz wetu walikua Wana tukanya kwa kutupiga au kukemea pale tunapo wadhihaki watu iwe kwa muonekano hata mavaz na kutuambia Sio tabia nzuri Sasa yeye Idris alicho kifanya ni ujinga na upumbavu Kwan hata kabla ya reaction ya serekal mashabiki zake wengi walianza kumponda na kuto kufuraishwa na kitendo chake
Kijana ndoto zake zinapotezwa hivi hivi. Haki itendeke huenda yote aliyotuhumiwa kusiwe na kosa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom