mmmmh hii kali
njaa mbaya!
mmmmh hii kali
njaa mbaya!
Ningeshauri huyo prince Charles ahairishe hiyo ziara yake ya Arusha..Aende akatembee Kilombero Wakulima wa Miwa na Mpunga..
ha ha ha, hajui kilimo huyo Regia, amekulia katika jumba la dhahabu kila kona.
The Prince believes
strongly in the clear
advantages of organic
farming.
In 1986, The Prince
decided to convert the
Duchy Home Farm to a
completely organic system to demonstrate the
environmental and
commercial benefits.
Twenty years later, Home Farm is not only a successful and viable working farm, but is a flagship for the benefits of an organic, sustainable form of agriculture.....
Ukisikia kuchokoza nyuki walio mzingani ni kumshika slaa na lisu bila sababu!Kiongozi mmoja wa chadema kukamatwa ni hasara kubwa!!!Naamuru waachiwe mara moja!!!Oohoo
Ukombozi unatafutwa kwa ghalama yoyote ile mi nikifa kwa kupigania haki naamini shemeji yako wa Kwa mtogole atafaidi matunda ya Uhuru wa ukweli toka kwa mkoloni mweusi anae tutesa hivi sasa
Mi naona bora aje kwetu huku Lindi na Mtwara sijui kwa nini wanampeleka maeneo mazuri.
Jana ilitakiwa wampeleke Tandale au Tandika ajione hali halisi ya Mtanzania sio kumpakia kwenye Panton lililo pakwa rangi siku moja kabla ya kulipanda
kuna wakulima na watu wenye mawazo ya ukulima, angekuwa mkulima kweli tungeona angejikita hususani kusaidia wakulima wadogo kabisa wanaotumia jembe la mkono, hata kuwatembelea tu tungeona kweli uingeleza inajali wananchi hali ya chini kabisa. nchi tajiri kama hiyo inaweza kabisa kusaidia wakulima hawa ambao wanapinda mgongo toka asubuhi hadi jioni kufanya mabadiliko ya kilimo, kwani wanalima kwa shinda bila soko la uhakika la mazao yao.Una hakika ndugu? You dont know prince Charles.
Read more :: princeofwales.gov.uk/personalprofiles/residences/highgrove/homefarm/
utawajua tu kwa maneno yao...ooo masaburi....ooo...umetumwa na nape!
Poleni magwanda!
Siamini kama haya maneno yanatoka kwa mh. mbunge!
.
Huamini? Ni kwa sababu huna uwezo wa kusoma katikati ya mistari. Wageni wazito lazima wapelekwe Arusha amboko kuna upinzani. Ni kwa nini hawanaga tabia ya kuwapeleka mtwara, lindi, Morogoro na mikoa mingine iliyo sisiem damu damu?
.
Hawa wanasiasa wa Cdm wanahusudu sana kuwa na mi-kesi. Sijui wanaona ni sifa?
Hata mTundu Lisu anajifanya hajui kuwa kufanya mkusanyiko wa kijinga kama ule wa NMC ni kosa? au anafanya kazi kwa jazba?
THIS TIME IMEKULA KWAO?
hawa wana siasa wa CCM walizoea sana kumpumzika baada ya chaguzi, sasa wamebanwa ki sawa sawa, sasa hivi wameanza kusoma hadi miswaada na mikataba kabla ya kusign tu kama walivyokuwa wamezoea. Hongera CDM - hasipumzike hawa, waliapa kuwatumikia wananchi kwa hiyo lazima watekeleze wajibu wao, wasipoweza basi walipueni kwetu wananchi kutumia maandamano na mikutano ya hadhara -- thats is the only way.Hawa wanasiasa wa Cdm wanahusudu sana kuwa na mi-kesi. Sijui wanaona ni sifa?
Hata mTundu Lisu anajifanya hajui kuwa kufanya mkusanyiko wa kijinga kama ule wa NMC ni kosa? au anafanya kazi kwa jazba?
THIS TIME IMEKULA KWAO?