Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

Wana Arusha baada ya kuchezea kichapo cha polisi Unga Limited msisahu kupiga kura kuchaguwa Mlima Kilimanyaro
 
Pamoja katika mapambano haya ya kumtoa mkoloni mweusi CCM Madarakani,dhuruma imejaa wao na watoto wao.
 
Lema kwenda gerezani ilikuwa mbinu ambayo jana ccm walitakiwa waipangue kwa kumkubalia dhamana. Sasa wao sisiem wanajidai vichwa maji wakati watu wamechoka? Utaratibu mbofu na utawala usio wa sheria ndio chanzo! Asilaumie Lema
Mbona mnatuchanganya? Kwani huyo Mbunge wenu alinyimwa dhamana au alíìkataa mwenyewe? Nalog off
 
Nashauri viongozi wa CDM waache kwenda bungeni hadi hapo serikali itakapowaachia viongozi wote wa CDM bila masharti yoyote yale. Mbele kwa mbele.
 
Nashauri viongozi wa CDM waache kwenda bungeni hadi hapo serikali itakapowaachia viongozi wote wa CDM bila masharti yoyote yale. Mbele kwa mbele.
Duh! Nyie mnapenda sana kususa,yaani mnabip watu mnalalamika mguu, hahahahah. Nalog off
 
Ritz mbona threads zako zote zinakubainisha kwamba wewe si mtu wa kutia moyo wenzako una shidaa gani? try to be positive on sensitive issues please!!
 
Usijali,sifanyi mtihani wa kisw hapa,lkn pamoja na kukosea bado nimeeleweka.Lengo langu lilikuwa ni kueleweka na sio kuandika kisw fasaha.Hata hivyo nashukuru kwa kunifuatilia.

Bi mkubwa usijisumbua FaizaFoxy ametusaidia sana kudadavua na kudurusu tungo mbalimbali humu, lakini nachelea kusema CHADEMA mmefilisika kisiasa poleni sana. Mtu kama Dr Slaa hawezi akapelekwapelekwa na ushabiki wa kijinga wa kuvunja sheria hii ni aibu
 
tusipomwaga damu akili hatutapata, vijana tusikubali kuonewa wala kukandamizwa. tudai haki kwa nguvu zote
 
naomba nikupe pole wewe na ndugu zako.sasa subiri mziki uanze kitaeleweka tu.tumechoka na yeye ni mwanadamu amechoka.tutajua mjinga na mwenye akili ni nani.
 
Aghairi au aahirishe, hiyo ulioandika wewe umekosea kidogo, usione vibaya, wamenizowea hapa kutembeza kifimbo kwa uchafuzi wa lugha.

Wewe FF acha ushamba,Dada kamanda yupo sahihi kabisa,wewe mbona ulishaanzisha uzi wa barabara ya kilwa road?
 
tusipomwaga damu akili hatutapata, vijana tusikubali kuonewa wala kukandamizwa. tudai haki kwa nguvu zote
Damu ya mjinga ni chukizo mbele ya Mungu ni sawa na mtu anaye jiua pole wewe, mbona mlikimbia NMC hahaha
 
naomba nikupe pole wewe na ndugu zako.sasa subiri mziki uanze kitaeleweka tu.tumechoka na yeye ni mwanadamu amechoka.tutajua mjinga na mwenye akili ni nani.

naomba nikupe pole wewe na ndugu zako.sasa subiri mziki uanze kitaeleweka tu.tumechoka na yeye ni mwanadamu amechoka.tutajua mjinga na mwenye akili ni nani.

Mama Josephine, nimeipenda hii. kuna mtu alichangia hapa jf asubuhi kuwa kama Dr Slaa angekuwa mkali kama Godbless Lema nchi ingewaka moto baada ya uchaguzi na wasingerudia kumtia vidole machoni.....Mungu akutie nguvu!!! hakuna kukata tamaa!!!mwendo mdundo
 
Damu ya mjinga ni chukizo mbele ya Mungu ni sawa na mtu anaye jiua pole wewe, mbona mlikimbia NMC hahaha

sidhani kama kuna chukizo kubwa kwa Mungu kama ushoga...wewe unamchukiza kwa kucameruniwaaa?
 
Back
Top Bottom