Polisi auwa raia tena

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Polisi mkoani Kigoma amemuua raia na mkuu wa polisi mkoani humo bwana George Mayunga anasema ni bahati mbaya na wananchi wawe na imani na jeshi la polisi....jamani jamani hii bahati mbaya kila siku....watanzania tunaimudu kweli?

Source...ITV habari
 
Ole wao raia nao waje waanze kuwauwa hapo ndo watajua mchungu kwa nguruwe mkuki.
 
Hapo angekuwa raia ngo kauwa polisi angeozea jela na kunyongwa mpaka afe.
 
oh! RIP ULIYEUAWA KWA MAKUSUDI. Ina mana hawa polic kla cku wanaua kw bht mbya??
 
Imetokeaje mpaka akamuua???

nilivyosikia ni hao polisi walikuwa wananyang'anyana silaha (sijui walikuwa wanacheza au vipi}.....sasa sijajua ilikuwaje mpaka mtu huyo yakamkumba yaliyomkumba
 
Je raia akiua polisi huyo RPC atasema ni bahati mbaya kweli?

Ni aibu sana nilimsikia RPC kigona anajusty kitendo cha mauaji hayo.

Shida kubwa ni kuwa hatuna utamaduni wa kuwajibika kikazi kikiokea kitendo kibaya kimefanywa na junior officer wakubwa watafanya kila linalowezekana kuonyesha ni kosa la raia.

Kitendo cha domestic case askari wanakwenda kupiga mtu risasi kwa lengo la kuua ni ukiukwaji wa haki za binadamu kwa hali ya juu sana. Aingii akilini raia anauawa na polisi badala ya kudhibitiwa.

Tusiporekebisha tatizo la leadership ktk nyanja za kipolisi swala la raia kuawa litaendelea siku zote kwa sababu hakuna kuwajibika kwa wahusika.
 
tumeshakuwa Libya my dear....watanzania huwa ni wavumilivu lakini ikifika kooni huwa nawaaminia....ipo siku yao hawa we subiri

Ni kweli my dia yani tunaishi kama wakimbizi kwenye nchi yetu wenyewe
 
Ndio maana hata Dowans ilikua ni bahati mbaya....sawa kabisa
 
Back
Top Bottom