Police ni CCM au CCM ni Police!

The Infamous

JF-Expert Member
May 11, 2009
731
121
kuna mwanachadema kakutana na kipigo cha makomandoo wa ccm, 'janjaweed' na kaumia mbavu, kapelekwa kituo cha polisi kwa pf3 wakakataa kumpokea, mpaka kesho yake, sasa nashindwa kuelewa nini mbaya na maaskali wetu, mbona wana element za usiasa kinyume na kanuni zao?, mbona wamekuwa wanalinda amani kwa kuangalia vyama pinzani vinaharibu wapi? kwani CCM wao hawana vurugu, mbona nashindwa kuelewa, najiuliza je police ni ccm au ccm ni police? na kama jibu ni ndio democrasia iko wapi,,na kama ni hapana, basi Justice should not only be done, but manifestly seen to be done.



.......................................
UKWELI NI KAMA UKIMWI UKIONGEA TU UNATENGWA.
 
LOL... its too funny how the public is so desensitized when it comes to opposition being beaten up. Rather comical, I find. Its like what one fictional character of super human strength said to a much weaker enemy:

" Your bravery is admirable (pause).... but ANNOYING!" alafu akampa kipigo cha AJAB!
 
Kupata cheo kikubwa ndani ya majeshi yetu ni lazima uwe mshabiki wa CCM. Hivyo usikute hapo kituoni bwana mkubwa ama bosi wa kituo ni kibaraka wa CCM. Tusitegemee haki kutendeka, hawa CCM wanaelewa wazi kwamba wananchi wamechoka na uchafu wao hivyo wanatumia kila njia ili kuwanyamazisha wananchi. Lakini ni vyema tukaendelea na mapambano ili kupata uhuru wetu. Hakuna uhuru bila mapambano na hili linajidhirisha tokana na ukweli kwamba CCM hawako tayari kukubali kushindwa ama kuachia madaraka.
 
Back
Top Bottom