Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

Status
Not open for further replies.
Caucus ya ccm ni magufuli kama hutaki kabinuke fisi weye! Leo ndo umeona bungeni kuna caucus mbona BASHE, MSUKUMA, MALIMA waliswekwa lupango Caucus haikuwepo? Mkulu alipokutana na wabunge wa ccm na kuwapiga biti kamati ya Kafumu kwamba kwanini walipanga kwenda kumuona mpinzan Lema kule Kisongo gerezani Caucus ilikuwa wapi? Unaongea utafikir huna kichwa au we ni msukule?
 
Hahahahah ufataani tu. Hakuna chochote. CCM hatuendi hivyo aliyekutuma hajakupa maelezo kamili.
 
Acha wafu wazikane

Sent from my DP7CPRO using JamiiForums mobile app
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Mkuu nge akiwa na njaa huwa anajitafuna mwenyewe naomba mshukuru mola maana hii ndiyo dalili ya kuizika CCM
 
Whatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
Unaelewa kukiita chama chako CCM kwamba ni chama dola unakitusi? "State Party" ilikuwa zama zile za giza la ukomunisti duniani. Ila kama CCM ina sifa za kuwa chama dola basi sawa!
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO, WEWE NI LI-CHADEMA, TENA HUTUFAI KTK NCHI HII. NENDA HUKO KASKAZINI YENU.

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
we sasa mchochezi wa CHADEMA wana nchi yao huko kaskazini? Na ninyi nchi yenu ni ipi?
 
Kama kuna ujinga kama huo, Polepole achana nao kwa maslahi ya chama chetu, tukubali mawazo mbadala ili chama kiwe salama! Nawasilisha!!!
 
Waondolewe tu hayo makapu ya lowassa hayana pakupitia

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kitaeleweka tu. CCM wawe makini, wataleta chama kipya ndani ya chama
Chama lina hazina za viongozi duniani kote. Ukinyofoka nyofoka pekee yako. Mfano ni baba lenyu Mamvi liliwaingiza mkenge akina Mbowe kwamba ni bonge la asset kwa kuweza kunyofoka na vichwa kibao. Mwisho wa siku baba katumbo Mgeja mpenda Bure ndio akawa asset!!
 
Kajiuliza kwanza ni kwa nini akina Kinana wazee wa Chama wamegoma kuwahoji?na yeye Kama mdandiaji wa Chama kwa kufuata maslahi ana wazidi nini akina Kinana na akina Nape anaotaka kuwahoji?asije akageuzwa kuwa harakaharaka badala ya polepole.
 
Polepole apewe ukatibu mkuu! Kama namuona akionyesha mpaka gego la mwisho!
 
Mmmmmh vtu vngine ni ktafuta tu kk hii poct cdhani km inaukwel wwte maana mtu alimpa Uwaziri na akamfukuza na yu ndio mwenykit ss nn kinamshinda kumuonya?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Whatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
Hata Gaddafi alikua Dola tena ya nguvu akafia kwenye mtaro wa mavi... siongelei ya Sadam

Ila kwakua mna laana na mko lunatic historia kwenu ni magazijuto.....

Utashindana na vyote ila Sio wakati.....

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Mmeongezewa dau ufipa sio?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom