Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.
Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.
Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.
kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa
lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.
Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa