Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

Status
Not open for further replies.
Hao jamaa hata mkiwafukuza huko,bado wataendelea kuyaongoza tu majimbo yao. Watabadilisha tu upande Wa kuketi mjengoni na watakosa tu zile milioni 10 za hongo

from Katesh using Siemens C55

umeonaa eeee
 
Yale yale!!! Bungeni viongozi wa bunge huwanyanyasa wabunge wa upinzani juzi kiongozi mmoja wa bunge anasema wapinzani wana joja nzuri za kujenga ila wao Ccm wanazipuuza kwa vile sio wao wamezitoa.... Najiuliza Ccm wako madarakani ki chama au kuwatumikia Watanzania???

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app

wapo bungeni kutetea chama, mishahara na posho
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa

Badala ya kujadili ya bavicha arusha madiwani wanabwaga manyanga mko bize na ya lumumba, hizi kweli akili anazomaanisha rais mstaafu wa tz awamu ya tatu!!
 
Wafukuzeni sio kujadilijadili. Kwanza pole pole awajadili hawa wabunge kama yeye ni nani katika taifa hili
Na akiwapa adhabu tutamfukuza ukatibu uenezi

Sent from my BBA100-2 using JamiiForums mobile app
 
Nina mashaka na akili yako. Ni kweli safari ya nape kisiasa ameiharibu na kama 2020 ataukosa ubunge atakuwa ameisha kisiasa. Mimi pia sipendi kelele zake kwa tweet zake kwani zimeonysha udhaifu na uchanga mkubwa sana kisiasa.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Kwani kuwa kijana ndo kuwa juu ya chama chako? Huo ndo ujana na nidhamu kwa chama? Kumbuka chama ni itikadi na sera, siyo lazima ung'ang'anie sehemu unayoona kabisa hamko pamoja kimitizamo, kiitikadi na kiimani. Njia nyepesi ni kukiacha chama kwasababu chama daima kitakuwepo isipokuwa siye wanadamu ndo tutakuja na kupotea(kuondoka). Watu wanahama kwao ije kuwa chama?
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa

Umeshaonyesha kuwa ni tetesi lakini mwishoni una conclude!! Sasa tuelewe yapi ni tetesi au udaku?
 
Kwa nn kwa nguvu hizo hizo huwa hulaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu dhidi ya wabunge wa vyama pinzani?.
Yaani wao wakubali tu kushikiwa akili !
 
pengine katiba inamruhusu. umeambiwa Kinana amegoma kuitisha kikao
Kikao huwa kinaitishwa na Mwenyekiti!! Kwanza nikikao gani hicho? Cha Kamati Kuu au cha tawi mbona hata haueleweki?
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Mm na ww ndyo vjana pekee tunaojielewa ndan ya Jembe na nyundo

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom