Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
Kulikuwa na umuhimu gani wa kutoa bandiko hili kama jina linafichwa?
Hata mimi nashangaa..
Kulikuwa na umuhimu gani wa kutoa bandiko hili kama jina linafichwa?
Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....
Wakati huu tunapohangaika kujua nani atakuwa role model, watu ambao wamekuwa wazalendo wa kweli, ingekuwa vema tukawaenzi na kuwaonyesha kuwa waliyoyafanya hayakuwa bure wala ya kudharaulika.Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....
Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN