Poleni UwT kwa misiba hii

Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....

Haya mla plau mmojawapo huyooo aseme sasa ni kwa nani kulikuwa na plau hiyo jana???
 
Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....
Wakati huu tunapohangaika kujua nani atakuwa role model, watu ambao wamekuwa wazalendo wa kweli, ingekuwa vema tukawaenzi na kuwaonyesha kuwa waliyoyafanya hayakuwa bure wala ya kudharaulika.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.Ameni!
 
Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....

Sasa kama msoma wasifu alisema wazi kwamba huyo bwana alikuwa mtumishi wa idara ya Usalama wa Taifa, tena utumishi wake ulijaa uadilifu, kuna haja gani ya kuendelea kuficha jina?
 
UWT? Hakuna hata mmoja huko UWT anayestahili kutuzwa kwa kuacha nchi ikiporomoka namna hii enzi za JK administration. Sitoi pole mimi. Potelea mbali.
 
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN

Mkuu MMKJ,

Mbona unaogopa kumtaja wakati ameishakufa? Kama sheria inakataza, mbona umemtaja Apson? Au hiyo sheria kwa wengine haifanyi kazi?

Nataka kujua tu!!!! Naogopa kutoa pole kwa wafiwa bila kumjua aliyekufa.

Tiba
 
Nimeambiwa kuna kigogo mwingine wa UWT aliyekuwa anaishi Mbezi Beach amefariki wiki iliyopita. Alifia Bugando na amepelekwa kuzikwa kwao Karagwe. Sisi majirani tulimjua kwa jina la Nyinondi!! MM wewe ficha sisi tunasema!!
 
Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....

Sasa mbona bado unashindwa ku-comply na JF slogan?

.....utaweza kumwambia JK face to face kwamba ''Wewe JK ni Fisadi namba moja'' kweli.....suppose unapata hiyo opportunity?
 
lakini na wewe mwanakjj sheria ipi inakuzuia kututajia Marehemu unayoiogopa ?????
haya mungu aiweke roho yake pema peponi
Amen
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom