Poleni UwT kwa misiba hii

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN
 
Sheria ipi na ya wapi?
 
Poleni sana familia ya ajenti *****.

MUNGU awape nguvu wakati huu wa majonzi.
 
Nilipoona UwT mwanzo nilidhani ile wing ya wanawake ya CCM inayoongozwa na Sophia Simba!
RIP agent wa Usalama wa Taifa
 
Poleni sana familia ya Agent mtiifu .Ujumbe huu wa kifo unaokena kuwa na mambo zaidi .
 
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN

RIP
Hivi Mwanakijiji hizi habari unazipataje kama na wewe si mmoja wao?Haya bana sisi tupo tu!!
 
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN

...meseji copied and decrypted.
Poleni wafiwa, Mw'Mungu amrehemu Mar'hum.
 
Kulikuwa na umuhimu gani wa kutoa bandiko hili kama jina linafichwa?

kwamba wao wenyewe wajue kuwa kuna watu wanajali kile wanachofanya; ni mashujaa wasioimbiwa nyimbo. Ukienda pale makao makuu ya CIA utaona ukuta mmoja una nyotanyota...
 
MKJJ,
Hiyo sheria inafanya kazi kwa wote au?maana naona Marhum DGI E.Mzena alitajwa tu alipokufa japokuwa zaidi ya miaka 30 alikuwa kastaaf?
 
naona hii ni thredi ya U.W.T
thank god mmeamua kujiweka wazi kabisa

MAMBO HADHARANI
 
Kwani hamjui mzee mmojawapo alikuwa Mh.Ng'itu??Huyu wa Tabata ngoja niwaulize wachapa plau wa mtaani wataniambia jana plau ilikuwa kwa nani... kule Tabata.
 
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN
Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.
Alikua mzalendo sana amekufa akiwa hajajilimbikizia mali. hakutisha watu kwa nafasi yake, hakua mdokozi wa mali za UMMA.
Rest in Peace mzee.....
 
Back
Top Bottom