ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,252
- 8,341
Namkumbuka Amina Chifupa RIP
Sio bure una lako jmbo Masanilo, Marehemu Amina anakujaje hapa
Namkumbuka Amina Chifupa RIP
Siyo kweli, mbu wanaoambukiza Malaria huanza kuuma usiku wa manane. Kitendo cha Zitto kuugua Malaria kinaashiria kuwa mbunge huyu ana dharau sana kiasi cha kuacha hata kutumia chandarua chake ili kujikinga na Malaria.
Namkumbuka Amina Chifupa RIP
Namkumbuka Amina Chifupa RIP
Ni kweli watu wameandika saana kuhusu matumizi ya vyandarua. Wengine wanaelezea vizuri sana ila wengine nimalimbukeni kabisa. Zoezi la kugawa vyandarua linaenda sambamba na kinga nyingine. Kuna upuliziaji wa nyumba kwa nyumba (mf. Mikoa ya Kagera, mara na Mwanza), zoezi hili litafanyika pia mikoa mingine yenye maambukizo makubwa kama Lindi yenye maabukizo 35.5%, Mtwara 33.6% na Ruvuma 23.9% ikifuatiwa na mikoa mingine. pia kuna zoezi la kuua viluilui linaloendelea sasa (ndio maana wa Cuba wako hapa, wanafanya kazi hiyo kushirikiana na Urban Malaria Control Programme. Nenda pale ofisi ya jiji la Dar es Salaam utawakuta wa Cuba!
kwa vile vyandarua ndivyo vinavyoonekana ndo watu wanachangia tele maana viluilui vinaangamizwa mabondeni watu wakiwa kazini, na hawaoni! Nenda Wizara ya Afya upate maelezo uache kuropoka!
Ni upotoshaji mkubwa kusema kwamba vyandarua vinatolewa na Bush! kwanza Bush mwenyewe ni mstaafu! pili sio anaetoa wala alieidhinisha vyandarua vilivyokuwa vinatolewa, la hasha!
Mhhh,
Una maana kuwa mtu hata kienda kupata dinner akachelewa hadi alfajiri atumie chandarua!

katika hoja ambazo sikubaliani nazo ni kutokomeza malaria kwa kutumia chandarua..hata siku moja! dawa ni kutokomeza vimelea vinavyosababisha kuenea kwa mbu mitaani....nina uhakika kabisa kama tutahakikisha hakuna mbu kabisa Tanzania hii malaria itatoka wapi? watu kila siku netiii netiii, kwanini tusiwaondoe hao mbu? kama ni dawa zipo..uzembe tu na kutokuwa makini
Nachukua nafasi hii kumpa pole MPIGANAJI MACHACHARI WA MASLAHI YA TAIFA HILI....Mh. ZITTO, POLE SANA! Pamoja na hayo,uchunguzi wa kitabibu umeonyesha anasumbuliwa na malaria (vidudu 120)! Ni mara nyingi viongozi wetu wamekuwa wakisisitiza suala la utumiaji wa vyandarua tena vyenye dawa na kwa nia thabiti ya kukomesha malaria nchini,mkuu wa nchi aliwahi kupokea TAKRIMA ya vyandarua alipotembelewa na swahiba wake, George BUSH! Hoja yangu, watu wengi wanasumbuliwa na malaria hadi sasa japo vyandarua vimejaa kila kona na kuna uhamasishaji wa kutosha,tuamini havina uwezo wa kutukinga na malaria au watu tumepuuza kuvitumia!!!?
una lako jambo
hapa kuna watu wamewajaza wa tz ujinga na ni lazima tuuondoe kichwani mwao.Hivi mbu anayeambukiza malaria ni yule wa chumba cha kulala?. maana naona kama watu wachache smart wanapiga hela kwa kuuza vyandarua na wasomi wote ktk secta ya malaria wameshindwa kufikiri nje ya box.
Vita dhidi ya malaria ilipiganwa hata na wanaotupa fedha za chandarua(USA) lakini hawakuishinda kwa chandarua.
hebu wadau nipeni case study ya nchi iliyoshinda vita ya malaria kwa chandarua?