KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 197
Acha kukurupukia hoja kwa kuandika vitu usivyovijua wala kuwa na ushahidi navyo.Basi hao wataalamu kama wangekuwa wanajua hilo wasingekuwa wanatoa ushauri wa kutumia net kama kinga madhubuti dhidi ya malaria.Wamefanya utafiti ndio wakaja na hiyo suluhu.
Kwenye hiyo statement yako leta chanzo cha hiyo tafiti yako.Wewe kwa kuwa ni mshabiki wa Zitto unachangia hoja kishabikikwani
Kweli kaka wewe ni juha bongo kungekuwa na wataalam wangemshauri jakaya akienda kwa obama akaombe dawa za famigeshen sio vichandarua vya futi 3 kwani bila ya kuwaangamiza mbu malaria itazidi kutuua wataalam wa bongo wamejazwa mashinikizo ya wana siasa wetu uchwara wa magamba hata mimi ningekuwa waziri wa afya ningemshauri rais aachane na vyandarua