Pole sana Mh.Magufuli kwa msiba wa binti yako

Status
Not open for further replies.
POLE SANA MZEE!

alipata aleji ya dawa (drug allergy) jamii ya salfa(s) kitaalam wanaita Steven Johnson syndrome.
Kuna maswali najiuliza
(i) Familia yake haina uangalizi wa ki matibabu? Hawafanyi 'regular and detailed medical chek up?'
(ii)Hawajui dawa aina ya salfa kwa ajili ya maleria si ' drug of choice' ya maleria?
wizara ya afya inasisitiza mseto au dawa (2 in 1) kwa ajili ya matibabu ya malaria na kwamba ilishazuia matumizi ya Single therapy
kwa ajili ya malaria wao hawajui?
(iii) Je ni mara ya kwanza kuugua malaria kwa hiyo hawakuwa na patient medical history?
(iv) Au daktari alieanza kumtibu alikuwa na nia mbaya na anahitaji kufuatiliwa? Kwa sababu Steven Johnson syndrome.si common!
Jamani tujijali wenyewe na famila zetu, ukifa hurudi inabaki historia
Mhh, juzi mama nae alizimia na kulazwa!!
 
TATIZO MLAMKE SEKONDARY,afisa elimu secondari hebu fuatilia hili wanafunzi waliomaliza kidato cha nne,2016 kudaiwa mchango Wa elfu 38.bila makubaliano ya wazazi nakumbuka na kikao cha taerehe23/9/2016 kilivunjika na hakukuwa na makubaliano yeyote,
 
Etii?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom