pole ndugu mwangosi

mtaftaukweli1

Member
Sep 21, 2012
27
1
kwa hali ya sasa serikali ina zidi kuchefua wanainchi wazalendo na wapendahaki wote dunian, mbaya zaidi wanaojidai kuwa wana shikilia dola wanapoamua KUFANYA lolote bila kujali wenzao.Ivi wanapoamua kuficha hata mambo ya wazi wanaelekea wapi hasa? pole Mwangosi kwa yalokupata ulipokuwa nasi hapa duniani ,na penda kuwaombea msamaha kwaniaba yako wote walo husika ,mwenyezi mugu awasamehe bure.HAWAJUI WALITENDALO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom