maji yamewafika (sisiem) shingoni
Afadhali ya shingoni kwa sasa(sisiemu)maji yapo puani.!!!
maji yamewafika (sisiem) shingoni
Unaniita mwehu for what reason?Mimi hata sijui gender yake,wengine mnafahamiana humu lakini msisahau kuwa this is a public forum na mwenye kutofautiana kimawazo si mwehu....Si wewe unasema upo Nairobi unasoma?Ndio usomi kujibu hoja kihivi?Mama, achana na kubishana na mwehu atakutia hasira bure!