Pole Dr. Slaa, Pole CHADEMA

na bado hadi kieleweke cdm iko ngangari haihitaji kutangazwa kwakuwa hakiuzi sura watz wamepevuka sasa wanajua mbivu mbichi subirini 2015 patachimbika babake
 
TUmeona mlivyopambana bungeni na jinsi mlivyopigwa vita left right and center...

Tumeona mlivyojitolea kusaidia waathirika wa Gongo la Mboto na jinsi media yetu na serikali zinavyojitahidi kuwabania

Hizo ndio changamoto zenu na naomba sana msivunjike moyo

A challenge to you; wekeni ahadi yoyote ile muone CCM na serikali watakavyohamanika kuitimiza ili waonekane wamefanya kitu... do that for bombs victims
Weka vithibitisho kuonyesha hayo unayosema "mmeyaona"
 
Hivi hii na kauli mbiu ya vyama vya upinzani maana tulizoe ngoja 2010 sasa mmeongeza miaka mitano?
We ushafika, wengine bado. Kama hujaona ya 2010 basi wewe kituko kabisa. Kama hujaona mageuzi ya ukweli basi inaonekana unyunyu wa chumbani kwa nanii zako umekupumbaza.
 
We ushafika, wengine bado. Kama hujaona ya 2010 basi wewe kituko kabisa. Kama hujaona mageuzi ya ukweli basi inaonekana unyunyu wa chumbani kwa nanii zako umekupumbaza.

kama ni hayo, basi nimeyaona, sikutegemea kuona wabunge wakikimbia mijadala kwa kuwa hawana ushawishi wa wingi, wala sikutegemea kuona mgombea urais wa kanisa akiangukia pua na kugeuka mtalii wa bunge wala siku tegemea kuona upinzani ukishindwa uchaguzi wa halmashauri kwenye kitovu cha uchaga pale arusha...aaah nadhani ni harufu ya kinyesi walichotibua kwnye TiGo yako ndio umenichanganya.
 
Cdm wafanye kile wanachokiweza sana. Waende kwa wananchi wakaseme yale yanayotoka kwao na jinsi wanavyozibwa na ccm na spika wao. Tutawaelewa na kusubiri 2015 kuwapa haki ilioyopokonywa na ccm 2010
 
Mkuu ungesubiri basi mpaka pale utakapoweza kutupatie habari kamili ndio uanzishe thread vinginevyo hakuna maana kuanzisha thread isiyo na taarifa kamili.

Mkuu tatizo liko wapi TBC wamewabania CDM hata mimi naungana na MTM kuwapa pole, wameonyesha dakika moja na kukata, wakati Mkwere alipoenda kutembelea Gongo la Mboto ilionyeshwa mpaka usiku na iliikuwa inarudiwa mara kwa mara.... na ukizingatia TBC ni chombo cha umma hakitakiwi kuonyesha upendeleo wa aina yoyote.. mbona wapo tayari kumpa Makamba, Chilingati air time hata ya dakika 3 halafu inakuwa anazungumzia ishu za Chama? weka ushabiki wa CCm pembeni angalia kitu walichofanya CDM ni cha msingi sana halafu ukizingatia ni watu wengi sana wanataka kujua CDM imehusika vp katika kusaidia wahanga wa Gongolamboto....
 
We ushafika, wengine bado. Kama hujaona ya 2010 basi wewe kituko kabisa. Kama hujaona mageuzi ya ukweli basi inaonekana unyunyu wa chumbani kwa nanii zako umekupumbaza.

Mama, achana na kubishana na mwehu atakutia hasira bure!
 
TUmeona mlivyopambana bungeni na jinsi mlivyopigwa vita left right and center...

Tumeona mlivyojitolea kusaidia waathirika wa Gongo la Mboto na jinsi media yetu na serikali zinavyojitahidi kuwabania

Hizo ndio changamoto zenu na naomba sana msivunjike moyo

A challenge to you; wekeni ahadi yoyote ile muone CCM na serikali watakavyohamanika kuitimiza ili waonekane wamefanya kitu... do that for bombs victims

Ungetusaidia sana wanajamii forums kama ungetuhabarisha yale yaliyofanywa na Chama Cha Chadema katika kuwahudumia au kuwatembea wahanhga wa Milipuko ya mabomu ungefanya jambo la maana zaidi kuliko unavyolalamika tu hapo hatujui tujadili nini bila dondoo za matukio ya kweli kudondoshwa jamvini.
 
Kama wewe hujaona endelea kubeba box. Labda utaona next bunge session.
Pole sana.
Swali lilikuwa kwa mwanzisha thread,msiobeba mabox si mmemchagua JK tena?Na majority wanayo bungeni.
Poleni sana,bado hamjifunzi,mnadhani hata wananchi wanayaona haya tunayoyaona ama kuyajadili humu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom