Pokea ujumbe katika simu yako pale mlango,kabati,au droo yako viapofunguliwa wewe ukiwa haupo.

I don't know why people wanadai tuna low IQ Mungu akuongoze kwenye hili Transistor
Ila, je huu mfumo wako uta-base zaidi kwa watumiaji wa simu dizain za android au utawagusa hata watumiaji wa simu za kawaida?

Simu ni ya aina yoyote!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom