Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Nakuunga mkono, kwamba CHADEMA wakubali matokeo, hata kama watashinda kwa kura chache, si lazima wapate kura nyingi sana,ushindi ni ushindi tu, niwajuavyo chadema watakubali tu kama walivyokubali UBUNGO, KAWE,ILEMELA,NYAMAGANA ambako kelele za vyura(Magamba) zilikuwa nyingi kiasi cha kuathiri masikio ya mwasimamizi wa uchaguzi hadi wakatangazi kwa sauti za chini kama wako kwenye barafu.
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

acha kuropoka wewe wasio kubari matokeo ni ccm ambao mpaka sasa wanaongoza kwa kufungua kesi kupinga matokeo ya baadhi ya wabunge wa chadema.
 
Vp na nyie mkishindwa mtakubali matokeo au ndo mtaenda mahakani kama akina Hawa Ng'humbi na Batilda??

Bora kwenda mahakamani kieleweke moja kuliko kubaki kulalama tu na wimbo wa kuchakachua/kuibiwa/kuhongwa/kuletwa kura toka nje ya nchi nk nk.
 
cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi visingizio pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!rais ana wabunge 20!!! Kwa hali ilivyo igunga now no way chadema wanaweza kushinda,no way!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya yanga na simba.

masaburi mengine bwana???? Tutachapana hadi kieleweke!!!!
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Mtu makini angendika hivi:
[h=2]Please! Please! Please CHADEMA, CCM, CUF, NCCR MAGEUZI...............nawaomba mkubali matokeo Igunga[/h]
 
Duh kweli cdm wamefulia,yaani majimbo waliyoshinda hadi yanahesabika! KISHONGO umewajibu vizuri sana hapo juu
Nakuunga mkono, kwamba CHADEMA wakubali matokeo, hata kama watashinda kwa kura chache, si lazima wapate kura nyingi sana,ushindi ni ushindi tu, niwajuavyo chadema watakubali tu kama walivyokubali UBUNGO, KAWE,ILEMELA,NYAMAGANA ambako kelele za vyura(Magamba) zilikuwa nyingi kiasi cha kuathiri masikio ya mwasimamizi wa uchaguzi hadi wakatangazi kwa sauti za chini kama wako kwenye barafu.
 
Cdm peke yao ndo wanatabia ya kupinga pinga matokeo hovyo and kitoto bila kuwa na ushahidi, vyama vingine havina UPUUZI HUO
Mtu makini angendika hivi:
[h=2]Please! Please! Please CHADEMA, CCM, CUF, NCCR MAGEUZI...............nawaomba mkubali matokeo Igunga[/h]
 
Wanataka kutujengea mawazo kwamba watashinda ila ccm itaiba kura.wamesoma alama za nyakat nakuona tar 2 wanatoka patupu hivyo waanzishe agenda ya kukataa matokeo.magwanda hatuwataki hata kidogo unaunyanyasaji wa kijinsia.

Ingia humu kwa ID yako wewe!
 
ni kweli mkabisa ccm imefanikiwa kwa wizi na uporaji wa kura, unazungumzia takwimu za ubunge ukilinganisha na za urais, kwani karatasi ya raisi ndio hiyohiyo inachagua mbunge, mbona majimbo mengi madiwani wengi wa ccm lakini mbunge chadema, fikiri kabla ya kunena jambo mbele ya werevu. shame on you.
 
Wanataka kutujengea mawazo kwamba watashinda ila ccm itaiba kura.wamesoma alama za nyakat nakuona tar 2 wanatoka patupu hivyo waanzishe agenda ya kukataa matokeo.magwanda hatuwataki hata kidogo unaunyanyasaji wa kijinsia.

kuwasaidia police wanaoshindwa kazi yao ni unyanyasaji? Au police wapo kwa ajili ya kuwanyanyasa cdm tu?
 
Acheni visingizio vya kitoto!! Kwanza cdm hawatapata kura ya muislamu hata 1,wanazuoni wa kiislamu wameshatamka

huo udini umewekwa na viongozi wa bakwata na sio waislamu. Waislamu roho yao swafi ktk kumchagua kiongoz atakaewaletea maendeleo
 
Cdm ndio chama cha wavuta bange

kama ndo ivyo bangi nzuri sana na inamfanya mtu ajue wajibu wake, sio magamba hawavuti alafu wanaenda bungeni na kulala tu ila wakiwa nje ya bunge ni kufikiria jins yakuiba rasilimali zetu
 
Wanataka kutujengea mawazo kwamba watashinda ila ccm itaiba kura.wamesoma alama za nyakat nakuona tar 2 wanatoka patupu hivyo waanzishe agenda ya kukataa matokeo.magwanda hatuwataki hata kidogo unaunyanyasaji wa kijinsia.

Waliotumwa utawajua tu , wote wanaotuma pumba hizi ukifuatilia sana wamejiunga humu hivi karibuni na wanajua wazi kwa kura halali ccm haina chake kule, mnawadanganya watu ili mtakapoiba kura ijulikani vyama vingine vilishindwa mapema , huo ni ujinga
 
kwa nini mtanzania usivite bangi za tanzania kama ile ya tarime au mererani, hizi za nje ni mbaya sana matokeo yake ni haya unaandika upuuuz.

Yaani hata bangi wana import wakati inapatikana kwa wingi hapa tz basi tena tz kwishne
 
Cdm peke yao ndo wanatabia ya kupinga pinga matokeo hovyo and kitoto bila kuwa na ushahidi, vyama vingine havina UPUUZI HUO
Yakhe ubwabwa twala? Kama hakuna kitoweo nenda kwenye shamba la kiti moto la DC Kimario kule Tegeta ukashike mfugo mmoja kwa ajili yako na wanazuoni wenzako mliotoa tamuko.
 
Cdm peke yao ndo wanatabia ya kupinga pinga matokeo hovyo and kitoto bila kuwa na ushahidi, vyama vingine havina UPUUZI HUO
Mi binafsi siamini kama wewe ni mtu,mi nadhani utakuwa magician,hawezekani ukawa binadamu wa kawaida ukawa unaleta pumba namna hii halafu unasema unaipendatz,hivi ccm ina msaada gani kwa tz.We punda kwelikweli,usilete ujinga wakati ccm inatutesa,huwezi kuleta thread za maana kojoa ukalale ngwichilo mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom