Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,154
Una uhakika na unachokinena??!!Cdm wanapenda sana kuudanganya umma wa watz pale wanaposhindwa,siyo tabia nzuri hata kidogo
Una uhakika na unachokinena??!!Cdm wanapenda sana kuudanganya umma wa watz pale wanaposhindwa,siyo tabia nzuri hata kidogo
Unataka Rais awe na wabunge wangapi? Km kura za rais ndo zinaamuliwa na idadi ya wabunge basi uchaguzi wa rais tusifanye ila aongoze mwenye wabunge wengi. Unajua jimbo moja la Zanzibar lina wapiga kura wangapi au unaongea tu? Majimbo yote ya Zanzibar wapiga kura wake hawalingani na wapiga kura wa majimbo ya Dar, ila Zanzibar kuna majimbo zaidi ya 30 na dar kuna majimbo 6. Jaribu kutumia akiri kidogo tu kwani hii haihitaji degree ili uelewe nini cha kufanya.Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Wehu huwa wehu siku zote!ccm wameshindwa dr kafumu kafumuliwa tayari hawakubali, sign please matokeo yaende hewani!mnadhani watu wajinga wanawaangalia tu kila siku mnaahidi!