Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Cdm wanatukana sana and hawana nidhamu,hawafai kuongoza nchi iliyotulia kama yetu labda wakaongoze somalia
We naipendatz huna akili umeshindia mavi eeh?.umetoka MIREMBE lini?.ha ha ha husiwe unakurupuka cku nyingine UTAPAKATWA ohoo mwizi wa kura we!
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

Ukiwa ccm ni Kama laana,sasa hapa umeandika nini!?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Excuses ni mbaya sana! Mtu ambaye kila anaposhindwa basi ana kisingizio huwa hafanikiwi

Kunakukubali matokeo halafu pia kunakulazimishwa kukubali matokeo kwa sababu tu una dola. Hapo ndipo mnapoona cdm inaleta vurugu. Atatolea mtu kamasi tripu hii msichakachue, mkifanya hivyo tu mtakiona!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cdm wanatukana sana and hawana nidhamu,hawafai kuongoza nchi iliyotulia kama yetu labda wakaongoze somalia

The countdown has started for your turn to face the lethal injection on sunday. Your days on the deathrow are numbered, so brace for the 2nd of oct.
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

Umekosea, peleka haya mawazo yako kwa viongozi wa CHADEMA kule Igunga.
 
[QUOTE=Naipendatz;2559079]Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.[/QUOTE]

wewe unaonyesha ni ng'ombe kabisa,na siku tukichukua nchi tutakushughulikia ipasavyo anza kuomba hifadhi mapema.
Haiwezekani mkawafanya Watanzania ni wajinga tena wasioelewa kitu,yaani subirini mtaona!!!!!
 
yaah, akikua ataacha, natumaini ifikapo 2015 atakua mtu mzima na ataelewa somo
Usimpe sifa ya utoto,huyo ni ajuza. Si unajua ajuza akili zinakuwa zimejam? Inawezekana akawa amepewa jina hili R.I.P ifikapo 2015.
 
According to you and padri slaa,wapenzi wa cdm sijui mmerogwa na nini?? Hamuoni wala hamsikii!!! Viongoz wa cdm wanawatumia kama mazuzu then wenyewe wanajilipa miposho ya mil.7 per month
kwan vyama hivyo vinavyokubali matokeo si vyote ni CCM B
 
2015 kitaibuka chama kingine cha upinzani kitachoifunika cdm! Maana kila mwaka wa uchaguz kinaibuka chama kipya maarufu! R.I.P. Chadema
Usimpe sifa ya utoto,huyo ni ajuza. Si unajua ajuza akili zinakuwa zimejam? Inawezekana akawa amepewa jina hili R.I.P ifikapo 2015.
 
Mtachukua nchi ipi mkuu? Labda nchi ya Kilimanjaro
[QUOTE=Naipendatz;2559079]Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

wewe unaonyesha ni ng'ombe kabisa,na siku tukichukua nchi tutakushughulikia ipasavyo anza kuomba hifadhi mapema.
Haiwezekani mkawafanya Watanzania ni wajinga tena wasioelewa kitu,yaani subirini mtaona!!!!![/QUOTE]
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

Yaani wewe unaakili sana. CHADEMA hapo Igunga kweli lazima ishinde. Tatito ndugu yangu ni hao CCM wao hawataki kukubali matokeo wakati hali iko wazi.
WEWE
 
Mbona nawashangaza sana nyie. Kwaani huyu ndugu kakosea nini? Yeye kasema wazi kabisa tena mchana kweupee kuwa "KWA HALI ILIVYO SASA IGUNGA NO WAY CHADEMA ITASHINDA". Sasa tatizo la kumzogoa ninini?

wewe pia unanuka magamba
 
According to you and padri slaa,wapenzi wa cdm sijui mmerogwa na nini?? Hamuoni wala hamsikii!!! Viongoz wa cdm wanawatumia kama mazuzu then wenyewe wanajilipa miposho ya mil.7 per month
wewe ambaye haulipwi na cdm ccm wanajilipa shs ngapi kila mwezi. matumizi ya viongozi vibaraka wa ccm unayajua?
 
Back
Top Bottom