Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Kama kweli unataka tushinde na kubakisha kombe,kesho endelea tu na shunguli zako nyingine,tunauheshimu mchango wako ktk soka la TZ,Umetuletea makocha wazuri,unawalipa makocha vizuri,timu inakaa kambi nzuri,hongera,LIMEBAKI MOJA TU,USIJE UWANJANI KESHO,ILI TUBAKISHE KOMBE.Huo utakua msaada mubwa saana.
we unamjua au unamsikia huyu..yaani hata bila kualikwa anakuja we subiri uone sasa