Please Mr President usiende uwanja wa taifa (fainali) tunataka kushinda

Kama kweli unataka tushinde na kubakisha kombe,kesho endelea tu na shunguli zako nyingine,tunauheshimu mchango wako ktk soka la TZ,Umetuletea makocha wazuri,unawalipa makocha vizuri,timu inakaa kambi nzuri,hongera,LIMEBAKI MOJA TU,USIJE UWANJANI KESHO,ILI TUBAKISHE KOMBE.Huo utakua msaada mubwa saana.

we unamjua au unamsikia huyu..yaani hata bila kualikwa anakuja we subiri uone sasa
 
Du! Balaa hilo, jK ana gundu?
Wachezaji wajitume tu, ushindi upo ila hauji kirahisi kiivyo.
 
Nasikia wameshampiga quarantine pale uwanjani chijui atapita wapi? Khe khe kheeeeeeeeeeee lakini kama mjuavyo Rais Mwizi hawezi kukubali .... ati anasema kwani nani anamfahamu Yahaya zaidi kuliko yeye?
 
du hii kiboko. inaonekana alisikia maombi yenu au badoi alikuwa ziarani nje ya nchi. na kwa vile hakuwepo, basi timu ikashinda kombe limebaki. sasa wanaweza kumpelekea huko Magogoni anakoishi.
 
Back
Top Bottom