Pita hapa ushauri kisha nasema asante na uondoke zako.

Tupo wawili. mimi nipo tanga na mwenzangu yupo morogoro na binti yupo dar es salamu. Kiufupi kabisa huyu binti ni wa mwenzangu ila ilitokea tukapendana kutokana na ukaribu wetu kwa sababu kuna kipindi alikuwa yupo tanga. Sasa basi kuna jambo ambalo limeshatokea na binti ana mimba ameniambia hana huakika kama ni ya kwangu au ya mwenzangu. kwa mlio na uzwefu na haya mambo tuone ushauri tufanyeje hapa na ukizingatia bado kama siku chache wakatambulishane.

We ni kilometa wa ukweee! ngojawaje wakupe nasaha.
 
Kweli kioja hiki!!! How daring is this??? Na magonjwa haya unaju kabisa binti anapigwa miti na rafiki yako na wewe palepale???? Wote hovyo tu.
 
Nyie mpo wawili na hajui mimba ya nani kati ya nyie. Sasa ushauri wangu ni huu:

Mwambie amtafute wa tatu halafu amwambie mimba ya kwake baaaaaasi.

Eti "tupo wawili" una uhakika gani? May be yupo mwingine nae anasema "tupo watatu"?
 
Watu wanakushauri,mbona hausemi asante waondoke zao?hiyo mimba ni yako husikubali jamaa akatambulishwe.
 
Hivi Tz isharuhusu lile suala la mwanamke mmoja kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja?.....?
 
subiria azae ukapime DNA test.. au muulize anataka huyo mtoto baba yake awe nani? kama nii wewe basi ewala lea tu umeshapata mke
Na kama mtoto si wake? na kumbuka jamaa alikuwa kidumu kwa bint,unafikr ndoo ikipasuka kidumu kinaweza kuhimili?
 
Hivi Tz isharuhusu lile suala la mwanamke mmoja kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja?.....?
Bado,ila jamaa walikuwa wanapractise ili watupe feedback kama ni nzuri ama siyo nzuri!.......
 
Tupo wawili. mimi nipo tanga na mwenzangu yupo morogoro na binti yupo dar es salamu. Kiufupi kabisa huyu binti ni wa mwenzangu ila ilitokea tukapendana kutokana na ukaribu wetu kwa sababu kuna kipindi alikuwa yupo tanga. Sasa basi kuna jambo ambalo limeshatokea na binti ana mimba ameniambia hana huakika kama ni ya kwangu au ya mwenzangu. kwa mlio na uzwefu na haya mambo tuone ushauri tufanyeje hapa na ukizingatia bado kama siku chache wakatambulishane.
Vipi mwenzako alikuwa anajua kuwa mko wawili au ww ni mwizi? kama alikiuwa anajua uwepo wako simple tu kwakuwa wote mlilidhia kushare basi hata kwenye matumizi ya mtoto mtashare tu
 
Kwanza edit thread yako,na uondoe neno binti kwa kuwa sio mwanao,second kwenye hili ni kwamba ulifanya uzinzi na mchumba wa rafiki yako huku ukijua fika,mmechangia ujauzito of which huenda hata ukawa si wenu nyote kisha unataka ushauri...nakushauri uwaache waoane kisha uwe kijakazi wao ili umlee mtoto!
 
neno moja tu kutoka kwako linamtosheleza yeye kujua ka ni muuaji ama ni mtunza familia nzuri
 
Umekosea...kwanini utembee na mchumba wa mtu ilhali huna nia ya kumuoa?...
Ivi kweli kuchapiwa ni siri ya ndani...kweli??:what::D:confused::eek:
 
Baba wa mtoto anamjua mama ww muulize tu vizuri yy anajua hyo mimba ni ya nani,ukizingatia wote mko mbali wa morogoro alikuja kwa mda wake na ww toka tanga.... Ila uache tabia ya kuchukua madem wa wenzako
 
Umeshaambiwa hajui ni yako au ya mwengine na siku nyingine uache ubwege na muulize ameshaanza kwenda kliniki ili kama amepimwa ngoma.
Maana kama hajui ni kama yako au la anathibitsha alikuwa na vijibaba wengi na kavu alipigwa sana jitahidi kuangalia afya yako.
"Umeme umepanda bei"
 
Baba wa mtoto anamjua mama ww muulize tu vizuri yy anajua hyo mimba ni ya nani,ukizingatia wote mko mbali wa morogoro alikuja kwa mda wake na ww toka tanga.... Ila uache tabia ya kuchukua madem wa wenzako[/QUOTE

amesema hana huwakika mkuu
 
Back
Top Bottom