wewe unahusika kutengeneza katiba mpya inabidi upinge kwa moyo woote ukijua hilo!Wanatafuta kupachika OIC na kadhi kama Kenya. Sitaki katiba mpya kwa sababu hiyo tu
Baada ya kilio cha muda mrefu cha madai ya Katiba, hatimae hii leo serikali ya Tanzania imekiri kuwa ipo haja ya kuifanyia mabadiliko Katiba ya sasa ili iweze kukidhi mahitaji na mabadiliko ya sasa.
Akiongea na wahariri wa vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda amesema serikali itaunda jopo la wataalam kupitia mapendekezo ya awali na ya sasa yaliyotolewa kuhusiana na mabadiliko ya Katiba.
Hata hivyo Mh. Pinda amesema serikali bado haina jibu iwapo yafanyike mabadiliko makubwa ama mabadiliko madogo kutokana na mapendekezo yaliyokwishatolewa, au suala hilo lipelekwe bungeni ama lirudishwe kwa wananchi kwa maamuzi.
Source-Mimi
Mkuu kumbuka hapa:
"Hata hivyo Mh. Pinda amesema serikali bado haina jibu iwapo yafanyike mabadiliko makubwa ama mabadiliko madogo kutokana na mapendekezo yaliyokwishatolewa, au suala hilo lipelekwe bungeni ama lirudishwe kwa wananchi kwa maamuzi."
Hivyo bado kuna tatizo hapa
Baada ya kilio cha muda mrefu cha madai ya Katiba, hatimae hii leo serikali ya Tanzania imekiri kuwa ipo haja ya kuifanyia mabadiliko Katiba ya sasa ili iweze kukidhi mahitaji na mabadiliko ya sasa.
Akiongea na wahariri wa vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda amesema serikali itaunda jopo la wataalam kupitia mapendekezo ya awali na ya sasa yaliyotolewa kuhusiana na mabadiliko ya Katiba.
Hata hivyo Mh. Pinda amesema serikali bado haina jibu iwapo yafanyike mabadiliko makubwa ama mabadiliko madogo kutokana na mapendekezo yaliyokwishatolewa, au suala hilo lipelekwe bungeni ama lirudishwe kwa wananchi kwa maamuzi.
Source-Mimi
unajua taifa linapoangalia mustakabali wake kwa ujumla halafu mtu anakuja na kaseksheni kamoja anakoamua kukashabikia na kuharibu maana nzima ya katiba na nchi zima inakera sanaWanatafuta kupachika OIC na kadhi kama Kenya. Sitaki katiba mpya kwa sababu hiyo tu
Baada ya kilio cha muda mrefu cha madai ya Katiba, hatimae hii leo serikali ya Tanzania imekiri kuwa ipo haja ya kuifanyia mabadiliko Katiba ya sasa ili iweze kukidhi mahitaji na mabadiliko ya sasa.
Akiongea na wahariri wa vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda amesema serikali itaunda jopo la wataalam kupitia mapendekezo ya awali na ya sasa yaliyotolewa kuhusiana na mabadiliko ya Katiba.
Hata hivyo Mh. Pinda amesema serikali bado haina jibu iwapo yafanyike mabadiliko makubwa ama mabadiliko madogo kutokana na mapendekezo yaliyokwishatolewa, au suala hilo lipelekwe bungeni ama lirudishwe kwa wananchi kwa maamuzi.
Source-Mimi
ukiondoa lile gari na ofisi kwani anajua hata kama yeye ni waziri?? yeye anachojua katumwa na kikwete kufanya kazi... kazi ipi... hilo swali gumuKwanini Kombani asijuuzuru uwaziri!!
Alisema hataki magari ya kifahari bado yanendelea kununuliwa, akasema hawezi kuwakamata mafisadi kwa sabau wananguvu wana weza kutetemesha nchi, niambie umakini wake uko wapi au anapoanza kulia kulia bungeni......mimi nilikuwa na mwania sana ila kadiri siku zinavyoenda na mwana nayeye siyo...pinda ni makin
Kwanini Kombani asijuuzuru uwaziri!!
Serikali hivi sasa (ukimsikiliza Pinda kwa makini) ipo kwenye damage control kutokana na maneno ya KombaniSasa yule aliyekurupuka na kusema serikali kwa sasa fedha za kufanya mabadiliko alisema kwa niaba ya nani? ya kwake au ya serikali? kwa maana maelezo yake yalimaanisha hakuna kitu kama hicho kitaendelea, na kwa maelezo haya ina maana serikali is indecisive, na huyu hajatamka kama ana preempt yale maelezo ya awali.