Pinda kuutema Uwaziri Mkuu?

Amepwaya sana, mi sijaona cha maana alichofanya na ndo maana naona bora EL hata kama alituibia lakini jamaa anadeliver, akikohoa kila mtu anajua waziri mkuu halali leo sumbawanga kesho mwanza keshokutwa mtwara, hebu kumbukeni jamani. Mtoto wa mkulima kila siku yuko mpanda anafungua tawi la CRDB anawaalika mpaka kina Kibonde nk. naona anawafaa watu wa mpanda na ubunge wake haswaa ndo unaomtosha huu u PM simkubali
 
mwacheni jamani mtu wa yesu huyu kwa kweli ilikuwa ni dhambi kubwa kumteua kuongoza magamba plus, sasa amejawa na uoga au mwataka alie tena????
 
Back
Top Bottom