kuna viongozi wananunua vijiji vizima, wapo walionunua heka 20,000, kwa hiyo PM kununua heka 2 sioni kama ni tatizo. Tuweni fair hicho kiwango PM anamudu bana.
Dar Live kumbe ni ya Riziwani.
Achan majungu na nyie pigen issue nkajenge hzo dar recorded kila investment ni ya riz two,kwan yey 2 ndo anaziona hzo investment opportunity? Sas mnamgeukia nyoosha..Loh kuweni objective bhana
Mandingo mkuu hii ID yako imekaa ki pornstarwacha nijenge men!
Hivi tangu akae madarakani ameshindwa kupata hizo milioni kihalali? Aaaaa mnachosha tena wapenzi wa cdm, tena mtu ukiwa serikali ndo usifanye lolote kwa ajili ya kujiendesha? Msituzingue bana Jenga Pinda, wacha waseme na hakuna cha kutaifishwa wala cha kupelekwa segerea, HONGERA SANA PINDA! Wacha tu WAPENZI WA CDM wanong'one, usijali ni uvivu wao wa kufikiria kama unao uwezo wa kupata more then 40 mil kihalali.
Ata mie ningekuwa waziri mkuu mshahara niupatao naanzisha biashara yangu binafsi, unatakiwa ufikiri nje ya siasa
Chilubi Tatizo ni mgongano wa maslahi. Kwaheri Azimio la Arusha, kwaheri miko ya uongozi,...........
Tatizo si kukaa seriklinini kwqa muda mrefu. kwani serikalini kuna hela ngapi kwa mtu mmoja? watu wanastaafu hela wanazopata hazitoshi hata kumaliza nyumba ya kawaida tu. Juzi juzi Pinda alorodhesha mali zake na account ambazo hazikuwa hata na milioni 30. Mrema akajibu kuwa alikuwa na Milioni 37 kama sijakosea na kusema kuwa alimzidi Pinda. Sasa ukisema kukaa Serikalini kwa muda mrefu lazima uwe na uhakika wa mambo. Ina maana Pinda kazipata hizo mali akiwa Waziri mkuu. ISSUE NI KUWA KATIKA NCHI HII IPO FURSA KUBWA KWA VIONGOZI WA KISIASA KUTAJIRIKA KULIKO WANANCHI KUPATA UWEZO HATA KUMUDU MATUMIZI YA KAWAIDA. Mtoa mada bado ana hoja nzito ya kujadili tusijibu kijuujuu tu.Cha jabu nini?? Kiongozi aliyehudumu serikalini tangu awamu ya kwanza mpaka leo hii atashindwa kufanya hayo????
Binafsi namtetea pinda hata kama atajenga mradi wa billioni moja ni haki kabisa.
Pinda yuko serikalini kabla hata Maige hajazaliwa lakini leo hii Maige kaingia serikalini hata miaka 10 haijapita anamiliki nyumba ya mil. 700. Itakuwa kwa Pinda!!
Kufikiri kijamaa si kosa kwa sababu nature na maisha ya binadamu vimetengenezwa kwa njia hizo. Mfano katika mazingira kuna hewa, maji ardhi nk. ambavyo kwa pamoja binadamu wote lazima wavipate. Pili binadamu hawezi kuendelea bila binadamu wengine kuwepo. hivohivo mapato ya nchi kupitia kodi n.k. ni vya watu wote yaani watu watagawana kwa usawa kulingana na nafasi walizo nazo. tofauti ya mapato itakuwepo kulingana na kila mtu anvyopambana na mazingira yake. lakini kile kinachokusanywa kwa ajili ya wote ni lazima kiwafikie wote kwa kuzingatia kanunni maalumu yenye kuzingatia usawa ambao ni msingi wa ujamaa. Neno Ujamaa hapa litafsiriwe kama "sisi kwa pamoja" sio kama mfumo wa siasa.HUKU ndio kufikiri kijamaa! hivi kuna ubaya gani mtu kumiliki kitu kama hicho kama fedha alizo tumia hajaiba? asipoweza kujenga waziri mkuu kaukumbi nani ajenge? siyo kila anaye fanya jambo la maendelea kaiba!!!! fursa za mikopo kwa wanao kopesheka ni nyingi, mtu kama waziri anaweza akakopeshwa hata fedha za kujengea kiwanda nini kaukumbi!!! kuwa mwanasiasa maana yake siyo kutokuwa nachO.MBONA KUNA WATU WADOGO WANAMILIKI MAMBO MAKUBWA NA HAWAJAIBA!!! VIJANA CHAPENI KAZI MATUNDA MTAYAPATA.THINK GREAT AND YOU WILL BE GREAT AND MIGHTIER THAN YOU CAN IMAGINE.