Pinda ashindana na Riziwan: Naye anajenga Tuangoma Live

marecani raisi kumiliki ndege moja ya maana kwa safari zake za binafsi na familia yake ni kitu cha kawaida,africa na zaidi hii africa mashariki raisi au waziri mkuu kujenga nyumba au kununa heka ngapi vile za pinda???!! kawa fisadi hehehehe stupid people!
 
Hongera mheshimiwa Pinda. Kwa muda aliofanya kazi serikalini sioni cha ajabu angeweza kuwa na hekta nyingi tu zaidi ya hizo.
 
Hon Pinda amenunua heka 2 maeneo ya Toangoma na kuna watu wanajenga ukumbi wa kufa m2, mafundi hawalali usiku na mchana wanajenga pale,fundi mkuu alichezesha taya na king kong III na kunidodosa kwamba anajenga kitu kama cha rizmoko (DarLive), Heka hizo zimenunuliwa zaidi ya mil 45!

Nawasilisha

Tu-eka tu-wili tu?! Mbona mimi nina HEKTA nane hapa Izyika Mbozi na hakuna anayenishangaa!
 
pinda sharobaro, labda anajenga mwanae Edward, maana siku hizi watoto wa vigogo ndo matajiri

Kupitia fedha za baba zao!!! Hivi Darlive ni ya nani vile? Au niseme ni jina lipi limetumika kuficha jina halisi la mmiliki wa Darlive kama ilivyo zile hotel kule bagamoyo ambayo moja imejengwa kwenye zile nyumba za makumbusho!!!!!!!
 
Tu-eka tu-wili tu?! Mbona mimi nina HEKTA nane hapa Izyika Mbozi na hakuna anayenishangaa!

Hata mimi nina zangu huko malabukuni ni nyingi tu!!! But niliamua kujisajili kijijini nikapata kwa bei chee enzi hizo. Mimi si fisadi!!!
 
Back
Top Bottom