- Thread starter
- #101
ukitabiri kitu kikatimia huwez kusaidia mahakama kuupata ukweli?kauli gani, kuwa waziri mkuu muuaji?wapi hakuna kauli za serikali hapa
ukitabiri kitu kikatimia huwez kusaidia mahakama kuupata ukweli?kauli gani, kuwa waziri mkuu muuaji?wapi hakuna kauli za serikali hapa
Yawezekana kweli muanzilishi wa thread ameongea bila ushahidiacha ujinga wewe....usilete pumba zako na kuvuruga amani ya nchi. Usionge vitu usivyo kuwa na ushahidi navyo. Bora ukae kimya..waachie polisi wafanye kazi yao.
hivi kweli hayo maneno yalisemwa na waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania??
acha ujinga wewe....usilete pumba zako na kuvuruga amani ya nchi. Usionge vitu usivyo kuwa na ushahidi navyo. Bora ukae kimya..waachie polisi wafanye kazi yao.
Mnakumbuka kauli ya Pinda kwa waliokuwa CPL -MNH siku hiyo.? . . .nanukuu. .
Ulimboka: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. .
Pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta kapigwa na majambazi au kagongwa na gari msiseme ni serikali' mwisho wa nukuu
Pinda is behind the sceen, shame on you Pinda
na leo kasema liwalo na liwe!
naona yalio tokea libya , na syria sasa yanakuja tanzania ..utabiti wa mrema....
huko libya wakundi ya kutumika walikua wakiua watu then akisingiziwa ghadafi na serikali yake..hatimae tunajua kilichofata...
na huko syria wauaji walio funzwa vyema wanauwa vichanga , watoto na wanawake then wanasingiziwa majeshi ya serikali...propaganda zinapigwa dunia nzima kwamba serikali ya Bashar assad inaua...mbona huko nyuma hajamuua hata sisismizi ?
mbinu hizi zilitumika sehemu nyingi ..lengo kuifanya jamii waichukie serikali yao....
naomba serikali ichuke tahadhari kubwa na kufanya uchunguzi wa kina na pia ushauri wa mrema na kauli yake kwamba aliwahi kuitwa na ubalozi mmoja ili kufanya mambo kama haya lakini mrema alikua shujaa na mzalendo halisi akakataa.
hakuna mantiki kwa serikali au pinda au kikwete kuwa wanahusika...serikali sana sana ingewafukuza hawa madaktari na kuwapiga marufuku kufanya shughuli yoyote ndani ya nchi.basi ingetosha kuwa ni adabu ya kwao kugoma kwa sababu za kisiasa.
tujihadhari...
Na wachoma makanisa ndio hao hao magamba na usalama wa taifa.Duh, JF kweli ni noma yaani ni GT, alimwahidi hivyo? Basi mpango ulianza kusukwa toka siku hiyo Pinda amesema hivyo. He should be held responsible.
damu yake itatoa majibu kwa serikali.
Wewe nafikiri upo kwenye sayari ya pekee yako, kama unathubutu hata kusema kuwa serikali ya Asad ilikuwa haiui wananchi wake siku za nyuma, nadhani hatuna haja ya kubishana nawe. Serikali ya Syria ambayo hata Jumuia ya kimataifa ilikuwa ikijua siku nyingi juu ya uwezo wake wa kuua raia wake mpaka wa nchi jirani. Ni Syria ndiyo iliyokuwa ikitekeleza mauaji mpaka ndani ya Lebanoni dhidi ya wananchi waliokuwa wakionekana kupinga makundi ya kiislam yenye msimao mkali kama Hamasi.
mnakumbuka kauli ya pinda kwa waliokuwa cpl -mnh siku hiyo.? . . .nanukuu. .
ulimboka: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. .
pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta kapigwa na majambazi au kagongwa na gari msiseme ni serikali' mwisho wa nukuu
kweli hii kali kaka!....Hakuna mtu wa kuweza kutimiza ahadi kwa serikali ya Kikwete.
Ahadi ya Pinda ilikuwa kumuua.
Still kashindwa.