Pinda alishamuahidi Dr. Ulimboka alipokuja CPL kuwa atapata matatizo

Mbona na imetokea hivyo!!
Kuna ukweli hapa ktk ahadi yake aliyompa
 
Nasign out huku JF... Nitarudi saa tisa, pengine kutakuwa na habari za nani alimteka, alimtekaje, na kwanini... Nani alimpiga, na nini hatma ya mgomo wa madaktari...
 
Hivi madaktari walio katika mgomo watamtibia mwenzao ili hali walishasema hawafanyi kazi? Najaribu kufikiri tu.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom