Pinda alishamuahidi Dr. Ulimboka alipokuja CPL kuwa atapata matatizo

Mizengo Pinda ni mnafiki.
madaktari endeleeni na mgomo msiogope mahakama ata kama itawapeleka magerezani kwa madai ya kutokuieshimu.
 
Ulimboka is a hero.
Is getting the muximum care one can get in the country, i can call it "state of the art treatment" at least mazingira ya Tanzania.

Tumieni ujuzi wenu wote, kuakikisha huyu jamaa anapata nafuu haraka. Wabaya waumbuke
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA

Wewe umelogwa wewe fisadi mkubwa wewe Mkirindi!
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA

Wangefanya hivi kila mtu angewahisi. Inawezekana pia walitaka ionekane kama ni majambazi wa kawaida ndiyo waliomteka na kumjeruhi. Labda kama ikijulikana baadaye kuwa huyu Dr. alitembea na mke wa mtu na mwenye mali akaamua kulipiza kisasi kwa njia hii.
 
Mnakumbuka kauli ya Pinda kwa waliokuwa CPL -MNH siku hiyo.? . . .nanukuu. .

Ulimboka
: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. .

Pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta kapigwa na majambazi au kagongwa na gari msiseme ni serikali' mwisho wa nukuu

Wanasheria tuko wapi hapo kwa kua ushahidi unaweza kupatikana, naamini alirekodiwa na vyombo vya habari na raia walimsikia pia. Ulimboka is a living HERO....
 
kama Tanzania kuna critical thinkers,hapa association of offence and goverment attitude to resolve strake,typically there is circumstatial evidence.DR ULI is one but behond him there are counterless proffesionals NEVER giveout to demand their need.
 
kazi ya majambazi siyo kupiga au kuua. Ujambazi ni kazi........ Hivyo kila kazi wanayofanya lazima iwe ina uhusiano wa kuwaletea kipato. Sioni sababu ya mtu kutake such risk bila kuwa na sababu............. Cha muhimu hapa kujiuliza kama ni majambazi? What is the motive??? Kama ni serikali .....................??? What is the motive?? Ukipima hawa wawili kati ya serikali na jambazi na uhusiano wao na tukio la ulimboka utaona kabisa nani anaweza kuwa na motive ya kufanya hilo jambo kwa ulimboka........!! Kama ingekuwa ni kesi unafikiri jury ingeamua vip??

ni serikali
 
Hapo ndio utajua usanii wanaoufanya hao jamaa.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Msanii ni wewe! Madaktari wana kiapo cha kusaidiana. Likitokea tukio lolote kubwa linalowahusu Madr wataenda kutibu kama walivyofanya leo kwani timu ya Madr ilikamilika yote kuanzia upasuaji, Kinywa na koo na macho na masikio, Intenal medicine, Mifupa hadi wale wa afya ya akili(psychiatry) waliunda jopo kubwa sana la kumtibu, Na kwa taarifa tu hakuna mtu mwingine yeyote atakayepata huduma nzuri kama ya ulimboka hata JK hatopata huduma hiyo bongo!!!
 
If my wishes were to be granted, Pinda angwekwa chini ya ulinzi huku tukiandaa hati na vielelezo vya mashtaka. Huyu ni mshtakiwa wazi wazi.
 
Hiyo aliisema ku wa fahamisha y akuwa anybody can take advantage of the situation. hebu tujiulize nani atakaye faidika na hili jambo. SEREKALI AU UPINZANI NA HASWA CHADEMA. Tuaona watakavyo ichochea hata kufikisha maandamano, au watawachoea madaktari wagome.

Hao waliomteka Dr Hawakuwa professionals, Serkali ingetaka kummaliza mbona hiyo ni kazi ndogo kwao, asinge amka usingizini. lakini mteke nyara kampige alafu mtupe njiani, aah hiyo ni siasa mbovu ya kina CHADEMA

hapa sidhani kama ulitumia kichwa vizuri kabla ya kupost

tafuta chorus nyingine.
 
Kweli mzee wa meeeeeeee amempinda mwenzie.

Pinda kajifunga kwa maneno yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom