Pinda akerwa na mikataba mibovu

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Waziri mkuu Mizengo Peter Pinda amesema anakerwa sana na mikataba mibovu ambayo Taifa letu linaingia

Source: Mzalendo - Jumapili 22/10/2011
 
tehe ataishia kusema tu uwezo wa kuwafuatilia hana, mwenzie sokoine mbona alidili sambamba na wahujumu uchumi, yeye anashindwa nini?
 
Amechukua hatua gani? Tapeli wa kisiasa huyu, hana alichotusaidia zaidi ya kutufunga kamba.

Yeye ni bosi wa walioingiza nchi katika mikatabata hiyo, amewajibisha wangapi?

PINDA ACHA UNAFIKI
 
Kukerwa kunasaidia nini??

Waziri mkuu anatakiwa achukue hatua sio kulialia kama raia wa kawaida!!

Mosi aliyesaini mikataba hiyo mibovu should be taken into task, baada ya hapo mikataba yote ipitiwe na ile inayoumiza walipa kodi wa Tanzania ifutwe hilo wala halihitaji kusemwa bali kutekelezwa endapo tungekuwa na waziri mkuu mwenye "meno"
 
Tatizo huyu waziri mkuu amepewa rungu ila hawezi kulitumia, anaishia kulialia. Hii ni hatari sana.
 
Nakerwa sana na kauli kama hizi za ''Mzenga'' sijui anatuambia anavyokerwa ili tumsaidie nini??!!
 
Hivi ule alioingia kule kwa wazungu kuwamilikisha ardhi yetu mpaka mkataba unapingwa na taasisi nyingine za kimataifa ndio uingiaji mzuri wa mikataba?
 
Kukerwa kunasaidia nini??

Waziri mkuu anatakiwa achukue hatua sio kulialia kama raia wa kawaida!!

Mosi aliyesaini mikataba hiyo mibovu should be taken into task, baada ya hapo mikataba yote ipitiwe na ile inayoumiza walipa kodi wa Tanzania ifutwe hilo wala halihitaji kusemwa bali kutekelezwa endapo tungekuwa na waziri mkuu mwenye "meno"
hapo blue nimependa
Ni kweli mkuu tunahitaji PM mwenye meno angalau awe zaidi ya Magufuli au Edward Lowassa enzi zake tukiachilia mbali suala la ufisadi lililo mgusa
 
Kaka Pinda hiyo ndo serikali yako na chama chako unachokiongoza chenye viongozi walafi na wanaojali maslai yao zaidi.
Una kazi kaka.
 
hapo blue nimependa
Ni kweli mkuu tunahitaji PM mwenye meno angalau awe zaidi ya Magufuli au Edward Lowassa enzi zake tukiachilia mbali suala la ufisadi lililo mgusa

lowasa anafaa nini? usituharibie siku bana.
 
He may be a kind of premier we have never expected in our country's history
 
Wananchi wanalia, Waziri mkuu anali!, nani wa kuikomboa Tanzania?.

Pinda unajiaibisha, bora ungekaa kimya tujue umeshindwa.
 
Huyo pm ni muoga na msanii anaongea ila utekelezaji zero
mf kilimo kwanza alikishupalia kwa maneno je leo kwa vitendo kipo wap?
 
Back
Top Bottom