Pinda akerwa na mikataba mibovu

mtu unaweza kusema neno kuhusiana na habari hii ambalo linaweza kukupelekea kula ban.
 
tatizo la Viongozi tulio nao wanapenda sana kunena ili wananchi wawajue kuwa nao tunachia kunyonywa ili hali wani ruling class
 
Amepewa wadhifa mkubwa ili kila linalomkera alitafutie uvumbuzi ikiwemo kuwafukuza kazi wahusika wa lile lililomkera.
Quote from Pinda, "Wahusika wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini kama watakamatwa nchi itawaka moto."

Kauli hii ilitukera sana Watanzania na zipo kauli zake chungu nzima na hata utendaji wake ambao una kera sana.
 
Je ni nani hao waliosaini mikataba mibovu? Anawajua? Je hakuna sheria dhidi yao? Je kufamya hivyo si kosa? Au amewasamehe kama ulivyomsamehe yule uliegushi saini yake bungeni?
 
huyu pinda kama hana vitu vya kuongea awe anakaa kimya au aende mpanda akalime shamba lake sio kutufanya wajinga hapa
 
tehe ataishia kusema tu uwezo wa kuwafuatilia hana, mwenzie sokoine mbona alidili sambamba na wahujumu uchumi, yeye anashindwa nini?

Pinda acha kuwahadaa Watanzania ,mnatoa ARDHI kwa wageni kisa uwekezaji,mnawahamisha Raia kwenye maeneo yao ya asili walipojenga nyumba zao kisa mnampa Mwekezaji eneo ajenge Nursery school,Angalia Dodoma wanachi wanatakiwa wabomoe nyumba zao zaidi ya 170 kimpisha Mtu mmoja ajenge Shule hivi DODOMA Mapoli yameisha mpaka muwabomolee nyumba watu walioishi hapo zaidi ya Miaka hamsini kumpisha mtu alierobb hati 2004 juzi tu,Watanzania Tusimame pamoja ,Nchi haina Uongozi Si Pinda wala Kikwete wenye uchungu na maisha yetu.Wakati pinda anagawa Ardhi kwao yeye anakuja Njombe kumiliki ardhi then anachukia mikataba mibovu ......"'
 
Yaani huyu sura mbaya kazi yake ni kulalamika tuuu hana hatua wala maamuzi yeyote anayochukua zaidi ya kulalamika.
 
Katika list yangu ya wanasiasa vigeugeu huwa naanza na mzee wetu wa Urambo,anafuatia yule daktari wa Nzenga,anafuatia na huyu mzee wetu Pinda.
 
I don't rank him high PM Pinda, he is like a crying babe!

Ukitaka kujua unafiki wa Pinda, mwambie ataje japo mikataba miwilii mibovu inayomkera
muone atakavyofyata mkia. Atasema hata mkimuweka kitanzi shingoni haitaji ng'o because
anajua kwamba mikataba yote mibovu ina baraka za baraza la mawaziri ambalo yeye ni member,
Tangu enzi za BWM hadi JK.

Tumechoka na UZANDIKI wa Pinda, kama amekerwa ni bora anywe sumu tu afe ili tujue kwamba
hatuna PM.
 
Waziri mkuu Mizengo Peter Pinda amesema anakerwa sana na mikataba mibovu ambayo Taifa letu linaingia

Source: Mzalendo - Jumapili 22/10/2011

hana lolote mnafiki mkubwa huyo!!kukerwa ndo nn,kwa hiyo anataka kulia?!
 
PM unatakiwa uwe active baada ya kugundua prezda wako ni inactive hapo ungebalance maendeleo na sio stori. mfano Mkapa wa active hence Sumaye was just there, mwinyi was just there lakini alikuwa na PMs wachapa kazi, like wise Julius was active na kawawa was jut there. So PM PINDA fanya kazi acha KULIA LIA
 
huyu pinda kama hana vitu vya kuongea awe anakaa kimya au aende mpanda akalime shamba lake sio kutufanya wajinga hapa
Mpanda kwenyewe akalime wapi ? wameshauza ardhi zaidi ya nusu kwa wadhungu,sasa mtu anaanza kuuza ardhi kwao Watanzagiza wengine tutapona kweli ?
 
Serikali ya Ccm umoja wao ni ufisadi. Pinda ni gamba ambalo lilikuwa limejifisha, na sasa hivi kesha jitambulisha kama na yeye ni gamba.
 
Waziri mkuu Mizengo Peter Pinda amesema anakerwa sana na mikataba mibovu ambayo Taifa letu linaingia

Source: Mzalendo - Jumapili 22/10/2011

Ingeuwa anakerwa nayo, angejitoa katika baraza la mawaziri, kwa sababu mikataba mingine ilipitishwa wakati yeye ni waziri katika serikali ya Mkapa (TAMISEMI). Sikubaliani naye. Kama anakerwa, amechukua hatua gani kuhakikisha inarekebishwa?
 
Kweli viongozi wa Bongo wanatuona sisi vilaza au nini?? Maana hii ni dhihaka kubwa kwa wananchi. Yeye akiwa kama waziri toka enzi za Mkapa anataka kutuambia kuwa hiyo mikakataba haipewi baraka na baraza la mawaziri?? Kama baraza la mawaziri linahusika hivi anataka tuamini kuwa hakuhusika?? Hili swala na viongozi kuwatupia mpira Mafisadi na wao kujitoa inabidi sasa vyombo vya habari vianze kulifanyia kazi!!
 
Back
Top Bottom