Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Kibuti ni noma kumwelewesha mtu anayekupenda historia za kumwacha ni ngumu mno. Siku hizi tumeelimika ukiona mtu anaanza kuwa kupunguza mambo fulani usiulize, na we punguza wote ili mflat wote. Ni ngumu lakini inasaidia. Kuna mtu alinipa kibuti kibaya, nikateseka kweli atlast ikakaa kichwani na kutulia.
Basi yule aliyempata alikuwa daktari. Akaja akapa mtoto nae huyo dada wa kike. Ikafikia sasa siku wanataka kwenda kutambulishwa. Alipofika kwa wahanga wa elimu huko wakauliza huyo jamaa yako anafanya kazi gani. akaambiwa for sure kazi iliuwa nzuri sana but isiyo na elimu. Enhe amemaliza chuo gani? Jamaa alikuwa form kavu. Aaaghhh! baba mtu akasema huyo hafai. Mwambie nitakulelea mtoto wako na wewe hiyo elimu ni gundu ndani ya nyumba yangu.
Siku hizi ukienda kuposa mnaulizwa anafanya kazi wapi? ana gari ngapi? amesoma vidato vingapi? alikanyaga mlimani au aliishia sinza kijiweni? kwi kwi kwi! watchout guys. tunakoelekea sasa hivi ni kubaya. Tumuombe Mungu wetu.