Piga tigo kwenda mtandao wowote kwa .30

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Jamani mambo haya
kwa wanaoangalia tbc naona
tigo imeamua kupunguza bei ya bidhaa zake kutoka
sh moja kwa sekunde na kufikia 1/2 sekunde
hakika tigo inatisha tunawashukuru kwa hili msiwe
kama matapeli wa voda com!!!!!
 
Back
Top Bottom