Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

Ipi ni katiba bora kati ya Katiba ya Warioba na Katiba ya Sitta?

  • Sitta

    Votes: 11 3.0%
  • Warioba

    Votes: 353 97.0%

  • Total voters
    364
  • Poll closed .
tumesha kuhesabia ya mzee sita

Khaa!! Bongo haya mambo bado bana. Aliwahi mtu humu kushinda urais wa JF kwa zaid ya 75%! Kiko wapi?? Karibu 40% hawajawahi kuiona hiyo katiba ya zamani kwa sababu ya ujinga na umasikini. Tumieni nguvu kupambana na hayo kwanza ndiyo mje na mambo ya katiba. Zaidi ya 35% hawatumiii teknohama nyie mnafurahia matokeo ya mitandaoni. Sikuwahi kuwaza kama kuna watu wazima wenye akili za sampuli hii
 
Rasimu ya Warioba na Tume ya Mabadiliko ya Katiba = "A" au Rasimu ya Sitta,Chenge na Baraza Maalumu la Katiba = "B"


Piga kura yako kwa kuandika neno "A''au "B" au unaweza kuandika "Warioba au Sitta" ama unaruhusiwa kuandika "(TMK Tume ya Mabadiliko ya Katiba) au (BMK, Bunge Maalum la Katiba)", Uchaguzi ni wako.


Hii post si kwa ajili ya kuchangia.
NIKUPIGA KURA tu, Mwisho ni tarehe 15
Oktoba 2014. (NI HIARI)

Masaa mawili yaliyo pita UKURASA HUU UMETEMBELEWA MARA 1008

  • Replies: 93
  • Views: 1,008

Warioba TMK
 
Back
Top Bottom