Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

JE, WANACHOKIFANYA WABUNGE WA VYAMA VYA UPINZANI BUNGENI NI SAHIHI?


  • Total voters
    115
  • Poll closed .
Wewe mtoa hoja..fafanua kwanza wamefanya nini huko bungeni..toa maelezo yakutosha..ndipo watu wapige kura..sio unauliza kama vile wote tumijifungia Tanganyika..fafanua kwanza..cc Kintekute Moderator

Yaani huyo mtoa mada utadhani shosti yake na spika coz wameendana katika kuharakisha mambo. Kitu hakijajadiliwa wala hakijaandikwa kikajitosheleza kuwa mada lakini kinalazimishwa kupigiwa kura
 
Last edited by a moderator:
Mungu atusaidie kwa jinsi Bunge lilivyoendeshwa jioni hii ni dhahiri kuwa hawa watu wamefikia Point of no return ya Ubabe...
:hand::hand::hand::hand:
 
Kwa kazi hii nzuri ya kutetea maslahi mapana ya wananchi, vyama vya upinzani bungeni ni sahihi kulipwa mil 230!
 
Wako sahihi sana kuna haraka gani kwani hiyo miswada ina expire date ya mwisho bunge hili
 
Anachokifanya sipika kupitsha miswada ya hovyo iliyojaa wizi ni sasa? Ukawa wazalendo wa kweli tuko nyuma yenu
 
Hongera wabunge Wa upinzani miswada ya dharura ni ya kifisadi wana haraka ya nini? Hata katibu Mkuu wao Wa ccm amewaponda kwa kupitisha hovyo mambo yanayoletwa Na serikali bila kuhoji
 
Makinda hafanyi sawa hawagomoi wakina mnyika bali anawakomoa watanzania na ni kwasababa hagombei tena ubunge
 
Back
Top Bottom