Pick up for sale

Venus

Member
Oct 12, 2011
12
0
Habari wadau,
Kuna Pick up single cabin inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri. Inauzwa na owner. ni white, imetembea apprx Km 100,000. ipo Dar, ni nzuri hata kwa biashara. AC yake inafanya kazi vizuri. Kwa mtu aliyeserious anayeitaji ni PM kwaajili ya kuona na bei ni maelewano. Pick up.jpg
 
Back
Top Bottom