Picha za ziara ya Nape kuimarisha chama Bukoka

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
1Nape+na+ujumbe+wake+wakiwasili+Uwanja+wa+ndege+wa+Bukoba.jpg


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasili na ujumbe wake kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba, kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi mkoani Kagera ambako pamoja na shughuli nyingine alifungua Baraza la Vijana wa CCM, Wilaya ya Missenyi mkoani humo.

7+Nape+na+viongozi+waliompokea+wakiwasili+kwenye+kambi+ya+Baraza+la+Vijana+wilaya+ya+Missenyi.jpg


Nape na viongozi waliompokea wakipita katika paredi la Vijana wa CCM

8.Nape+akikata+utepe+kuingia+kwenye+kambi+hiyo.jpg


Nape akikata utepe kuingia kwenye uwanja wa Mashujaa, kuzindua Baraza hilo.

12.+Vijana+waliopo+kati+ya+Baraza+la+Vijana,+Missenyi,+wakimsikiliza+Nape.jpg


Vijana wa baraza la Misenyi wakimsikiliza Nape

15.+Baadhi+ya+viongozi+kwenye+kambi+hiyo+wakimpungia+mkono+Nape+wakati+akiondoka.jpg


Nape akiagana na vijana hao.

16.+Nape+alipata+fursa+pia+kucheza+gofu+kwenye+viwanja+vya+mchezo+huo+vya+Dioniz+Malizni+%28kulia%29+nje+kidogo+ya+mji+wa+Bukoba.jpg


Kisha Nape akicheza gofu kwenye viwanja vya mchezo huo vya Dioniz Malizni (kulia) nje kidogo ya mji wa Bukoba wakati wa ziara yake ya kuimarisha chama.

17.+Nape+katika+Gofu.jpg


Nape na ziara yake Bukoba ya kuimarisha chama.

22.jpg


Nape akirudi Dar baada ya ziara yake ya kuimarisha chama Bukoba
 
Hongera nape nimependa mbinu zako Mwaka 2015 gombea Uraisi utapata tu.

Sisiemu wanakuonea wivu kwanini hamkukodi magari mlete watu kwenye mkutano

Ilo shada la maua nimelipenda lafanana na lililokuwa kwenye mazish ya kanumba
 
Yaani mkutano huu umehudhuriwa na watu wachache hivi!!!!!!!!

Hivi huu uwanja pia nao unaitwa CCM SQUIRE???

AMA KWELI CCM imekwisha,
pamoja na kbeba watu kwenye malori na kuwagawia ubwabwa bado watu wamegoma kushiriki!!!!!!!!


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Walio mpokea, ndio waliopiga gwaride, ndio walio hudhuria kikao na wale wale ndio waliocheza nae gofu na kumuaga pia.
 
EMT said:
16.+Nape+alipata+fursa+pia+kucheza+gofu+kwenye+viwanja+vya+mchezo+huo+vya+Dioniz+Malizni+%28kulia%29+nje+kidogo+ya+mji+wa+Bukoba.jpg


Kisha Nape akicheza gofu kwenye viwanja vya mchezo huo vya Dioniz Malizni (kulia) nje kidogo ya mji wa Bukoba wakati wa ziara yake ya kuimarisha chama.

17.+Nape+katika+Gofu.jpg


Nape na ziara yake Bukoba ya kuimarisha chama.
hizi ndio nimezipenda zaidi na ndizo zinaweza kuelezea vizuri kilichompeleka huko!
Hongera mzee Malinzi, nadhani hiyo golf course itakuwa ni ya kwanza kwa Kanda ya Ziwa

 
NAshauri wafungwa waanze kuvaa nguo za kijani na njano ili magereza yazoee occupants wake wa kuanzia 2016 na kuendelea
 
dah! kweli nape anakubalika kuliko hata CCM yenyewe, cheki umati ulivyosheheni maelfu ya wanachama na wapenzi wa CCM!
 
Back
Top Bottom