Picha za ziara ya Nape kuimarisha chama Bukoka

Kuimarisha Chama ni kuimarisha wanachama na siyo lazima mikutano ya hadharani. Tatizo la Chadema ni kudhani kuwa wakihudhulia Watu wengi mkutanoni ndiyo kukubalika. Hebu mutualizeni. augustino lyatonga Mrema yaliyomkuta 1995 aware uzoefu.
 
Kukodi ndege toka Dar mpaka Bukoba kuzindua katawi ka chama?..kweli huu ndio utumiaji mzuri wa rasilimali..!
 
12. Vijana waliopo kati ya Baraza la Vijana, Missenyi, wakimsikiliza Nape.jpg 7 Nape na viongozi waliompokea wakiwasili kwenye kambi ya Baraza la Vijana wilaya ya Missenyi.jpg
hizo picha zimeonyesha uhalisi wa MAGAMBA, kwa kweli nimependa hizi picha.
lakini hebu jaribu kuangalia kwa makiiiiiiiiiiiini nyuso za wafuasi wa MAGAMBA, umegundua nini?
1. hawaelewi wamefata nini hapo
2. hawajui nini kinaendelea
3. saluti zao ninaonyesha wamefuzu vizuri mafunzo ya mgambo
4. wanawaza wakitoka hapo watakuwa wageni wa nani huku mtaani kwao
5.wanashindwa kutofautisha kati ya Nape na ufisadi.
 
Back
Top Bottom