Picha za watoto wakiwa swimming pool

wacha maapizo!! miaka ya seventies ulikuwa unaielewa zanzibar na uongozi wake au ulihadisiwa tu ?wacha kivazi hicho cha kuonesha maungo, kuliva BUGA ulikuwa unawekwa ndani na kupigwa Viboko baridi na moto wakati wa kuingizwa na kutolewa jela .

Sawa spear kama umeamua hivyo... naomba wanazenji wenyeji waseme!! hii bichi ya hapa karibu na vile viwanja vya mpira watu wameoga bana!! Na kuna yale maeneo hata baadhi ya vijana walikuwa wanaenda kukatia magogo pale aisee

Kama hutaki basi wa-withdraw observations zangu
 
Yo Yo nikuulize, kwani huyo mtoto alivaa hivyo ili atolewe gazetini au mpiga picha na kiherehere chake ndio kaamua tu kumtoa gazetini ili kuuza? Ndio nyie mnaoingia kwenye swimming pool na suruali za kaunda suti zenu. Hatuko kwenye zama za 47 kweusi ebo!!
 
aah broda sijui labda mmezoea culture za majuu....imagine weye ni mzazi wa huyu binti na unaona picha yake kwenye gazeti la shigongo utajisikiaje?
1247399948_9.jpg


ona mwenyewe.....

Bwana eeeh, watanzania tubadilike siasa za mao tsetung tuache! mie sioni hata tatizo na jamani mje durban muone watu wana vyo pata burudani na kucool joto! hivi watu mnataka waogelee na kanga na mavitenge yenu! aaaaaarg! tembea muone mambo ya kawaida hayo! tusiwe hypocrite!
 
Huyu mwenye kufuli la pinki na hayo menzie mawili, sidhani kama niwanafunzi! wanaonekana wakubwa na wametia dawa kichwani. Tizama aliyechutama chini amesuka na the rest wana-nywele fupi. Hapo ni hotelini poolside yawezekana kulikuwa na watu wengine walokwenda kujipumzisha wakachanganyikana na watoto.

Wasiwasi wangu hao mabinti wasijemimbishwa, kuna katoto kameogelea na vivulana kule misri wakati wa vacation kakapata ujauzito.
 
hapa sioni picha za ajabu. watu wanaogelea. mnataka waogelee na makoti????. tuache mambo ya ajabu. sanasaana alaumiwe aliyepiga picha. sijaona dunia hii watu wanaoga na magauni au makoti. kama watoto wangekutwa mitaa ya posta wanakatiza mitaa na nguo hizo basi tungesema si sawa!!!!. mwisho mtampiga mtu akioga bafuni kwake na kusema mwoneni yu uchi!!!.kama aliyepiga picha aliona kama wapo uchi , yeye ndo wa kujilaumu, amezileta huku za nini . wakati watoto wafuraia kuogelea!!!.
 
Mi naona hakuna cha ajabu hapo...kwani mavazi yamevaliwa sehemu inayotakiwa...ingekua kavaa mjini posta hapo tungesema maadili yamekiukwa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom