Picha za watoto wakiwa swimming pool

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,136
mmmhhh jamani hao watoto ni aibu kwa wazazi ama walimu wao...mie hata sijui dunia ya sasa ....kuna katoto kamoja jirani yetu hapo kako hapa TPDC..MMH ukikaona kako silent kumbe wana mambo makubwa kuna nyingine tumeshindwa kuzileta huku kuheshimu maadili...wazazi jaribu kuuchagua kama mwanao yupo hapo ujue pa kuanza nae...kil la kheri hakuna kinachoshindikana mtoto akui kwa wazazi
 
Inasikitisha nchi yetu imekuwa inajifosi kwa nguvu zote kuigiza utamaduni wa mataifa mengine na kuuwa utamaduni uliokuwepo ,Mlezi wa nchi mwalim Nyerere aliona mbali kutokea mika ya 70 aliposhauriwa na aliyekuwa Rais wa kwanza wa zanzibar kuwa waweke TV ,mwalim alikataa kata kata na kusema kuwa ikiwa patawekwa Tv watu watafuata mambo ya west na leo kauli yake inazihirika ,huyu mzee ni kweli ndani ya moyo wake alikuwa anawatakia mazuri watu wake ,lakini leo wapi kiongozi hakujali wewe anachokijali ni utajiri wake lakini wasijisahaulishe Jamii ikiharibika haitoharika ya mlala hoi tu mpaka zao zitaharibika .
 
Mbona picha za kawaida sana sioni tatizo lolote wala uaibisho wake kwa jamii, inaonekana wote mnaolalamika ndio mnaona aibu kuziangalia. Picha zinaonyesha vijana wakila raha katika mavazi mbalimbali na wengine kwenye mavazi ya kuogelea, au kuna nyingine ambazo hazipo kwenye Michuzijr blog? Kama ndio zile sioni tatizo lolote ni picha za kawaida sana zenye kufuata maadili yote ya kula raha kwa heshima.
 
aah broda sijui labda mmezoea culture za majuu....imagine weye ni mzazi wa huyu binti na unaona picha yake kwenye gazeti la shigongo utajisikiaje?
1247399948_9.jpg

ona mwenyewe.....
 
attachment.php

akiinama tu......
 
Attachments

  • Picture 041.jpg
    Picture 041.jpg
    20.8 KB · Views: 1,128
Ila swla la mazoezi nyumbani naona watu wanaona halina umuhimu sana, mastar kibao 2 nawaona wana vitambi kishenzi; wazazi inabidi waonyeshe mifano kwa watoto wao coz mtoto akiwaona wazazi hawana mda wa mazoezi na yeye halichukulii maanani.
 
Wakuu samahani sana, lakini naomba niseme kwamba I take an issue na hawa watu waliojiteua kusimamia maadili ya wenzao. Hivi ni kwa nini watu tuko so obsessed na "maadili"???? Wakifanya wazungu au wengine tunaona ni kheri tupu...ila wakifanya wabongo/waafrika wenzetu tunaona kama ni kuharibu maadili ya Tanzania/Africa..huu unafiki utaisha lini? Why apply different standards on same facts???

Kibaya unakuta wanaolalamikia haya maadili wanakaa majuu..ambako wanayaona haya mambo..infact wengine wanayafanya kila siku (kama kuvaa nk, hata watoto wao wakienda ufukweni kuogelea wanawavalisha hivyo hivyo..hata wao wakiwa wanaogelea wanakuwa "uchi"....)..na wanaona sawa kabisa..lakini wakija hapa kwetu Tanzania/Africa..wanataka watumie standards tofauti..why???

Kwanini unaona aliye tanzania hastahili kufanya kitu fulani..ila aliye ughaibuni ndo anastahili??? I really dont like this double standards..kuona kitu ni halali kwa wengine..ila ikija kwetu hapa Africa...tunaonekana kwamba minds zetu zipo zipo tuu..Its unfair..

Jamani tuache unafiki wa the so called maadili. Hakuna ilipooandikwa kwamba Mtanzania/Mwafrika avae vipi-achilia mbali akienda kuogelea.... Hata kama watu hawako ulaya..haimanishi kwamba ndo wawe treated on different standards..simply because hawako ughaibuni.

Usishangae wote wanao insist maadili..wako ughaibuni ambako wanayafanya haya mambo kila siku...ila kwa sababu issue imetokea bongo..watu wanashika bango la maadili.

Hapana..watu hata kama hawako ulaya..tuwatendee haki. Let them live their lives to the fullest..as long as hawavunji sheria za nchi.

Masanja,
 
aah broda sijui labda mmezoea culture za majuu....imagine weye ni mzazi wa huyu binti na unaona picha yake kwenye gazeti la shigongo utajisikiaje?
1247399948_9.jpg

ona mwenyewe.....
Acheni ushamba na nyinyi. Kwani hiyo kitu si imefunikwa hapo. Sasa kuna kosa gani? Hebu hizo akili zenu ziondosheni katika sex . Mnafikiri hilo tu kila wakati?
 
Ahsante.... umenichekesha! Au anataka waogelee na baibui

Si ndio hapo ndio maana mimi naona ni mavazi ya kawaida kabisa, labda kitu cha kuhamasisha ni mazoezi kwa vijana ili kupunguza unene.

Yo Yo,
Mazee mavazi ya kuogelea hayo mazee, sidhani kama ni extreme.
 
aah broda sijui labda mmezoea culture za majuu....imagine weye ni mzazi wa huyu binti na unaona picha yake kwenye gazeti la shigongo utajisikiaje?
1247399948_9.jpg

ona mwenyewe.....

Nadhani huu ni wakati mwafaka kabisa wa kuwajenga watoto wetu uwezo wa kujiamini. WaTZ wengi wanakosa hii kitu kujiamini, Hebu angalia hiyo picha, inamuonesha sura ya huyo binti akiwa firm na kujiamini kabisa, angalia wengine...wamejikunyata...dalili ya kuonesha kuwa wanaunyonge katika fikra zao!
 
aah broda sijui labda mmezoea culture za majuu....imagine weye ni mzazi wa huyu binti na unaona picha yake kwenye gazeti la shigongo utajisikiaje?
1247399948_9.jpg

ona mwenyewe.....

Mkuu YoYo
duh sio under age hao? Nitajafungwa bure ngoja nizime kipajaisho changu
 
Tanzania kiboko, hao hao wazee wanaopiga kelele maadili maadili ndio hao hao kutwa tunakutana nao wanatongoza watoto wadogo.SMH

Yo Yo inabidi uanze kusupply Slim Fast sasa.
 
acheni ushamba watu wako bich waogelea nyie wapamba maneno. nendeni mmkafanye kazi waTZ tuna hali mbaya kiuchmi jama.
 
Si ndio hapo ndio maana mimi naona ni mavazi ya kawaida kabisa, labda kitu cha kuhamasisha ni mazoezi kwa vijana ili kupunguza unene.

Yo Yo,
Mazee mavazi ya kuogelea hayo mazee, sidhani kama ni extreme.

Ha ha ha haaaaaaaaaaa, sure man, hivyo vitambi kwa watoto wakike wadogo hivyo ni hatari sana. Sijui ndio Chipsi kuku na bia wanazoanza kunywa bado wadogo????????, Kimsingi mavazi yapo sahihi tena wamekuwa wastaarabu sana maana wengi hapo wamevaa pamba za kutokea na sio swimming cost kama inavyotakiwa.
 
Jamani mbona hizo picha hazina tatizo labda mletaje a point out kuwa ni nini cha kushangaza maana wote wako katika hali ya kuogelea na pia kuna aina tofauti za swiming costume
 
hehehe hii si ndo Bash la back to skul?
Hawa clouds wanachochea ufuska tu hapo hakuna la maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom