picha za mwenge zinaongea kuliko maneno

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
[h=3]Rais Jakaya Kikwete Akabidhi Mwenge Wa Uhuru Jeshi La Wananchi Wa Tanzania ili Upandishwe Kwenye Kilele Cha Mlima Kilimanjaro[/h]

Viongozi wa wataopandisha mwenge wa Uhuru mlima kilimanjaro
m8.jpg

m7.jpg

Rais Jakaya Kikwete baada ya kuuopokea mwenge wa uhuru
m6.jpg

Rais Kikwete akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo mwaka huu
m10.jpg

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange ambaye atawakabidhi wapandishaji mlima kilimanjaro
m14.jpg

Rais Jakaya Kikwete akiwatakia heri Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange na wanajeshi wataopandisha kilele cha mlima Kilimanjaro Mwenge wa Uhuru mkesha wa siku ya uhuru. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi , wa pili kulia ni Naibu waziri katika wizara hiyo Dkt Fenella Mukangara na wa kwanza kushoto ni mmoja wa wataopandisha Mwenge mlima Kilimanjaro.Mia
 
Kikwete hajui sheria za mwenge wa uhuru?

Inatakiwa mkono wa kulia unakuwa juu mara zote wakati wa kuubeba na hao wakimbizaji wa kitaifa waliogopa kumwambia nini
Mie najiuliza Nchimbi alikua hapo kama nani?Maana pia ndiye amesaini yale makubaliano na CDM.
 
Kikwete hajui sheria za mwenge wa uhuru?

Inatakiwa mkono wa kulia unakuwa juu mara zote wakati wa kuubeba na hao wakimbizaji wa kitaifa waliogopa kumwambia nini

si unaona mwamunyange anavyocheki mkono wake hapo kwa mashaka
 
Hayo mapete na mienge yote uchuro mtupu, maana yote himaya yake inatawaliwa na mungu mmoja!
 
jk bwana..sasa na maupepo yote yale mlima kilimanjaro hili dubwana la nini..na nani ataona huo mwenye ukiwa kileleni..yaaani
 
jk bwana..sasa na maupepo yote yale mlima kilimanjaro hili dubwana la nini..na nani ataona huo mwenye ukiwa kileleni..yaaani

Hivi sisi watz tutafaidika na lipi huo mwenge ukiwaka kileleni Kilimanjaro? Naomba kuwauliza wanajf ambao wanajua hivi wherelse in this world kuna jambo/tukio lolote lina bear any comparisons to Mwenge wa watz?. Ni hayo tu.
 
jk bwana..sasa na maupepo yote yale mlima kilimanjaro hili dubwana la nini..na nani ataona huo mwenye ukiwa kileleni..yaaani

hahahahaaaaa....hahaaaa....!! wale wafaransa wanauita national toch. Mia
 
Hoi hoi na furaha, shangwe na vigelegele, nchi yetu ya amani na raha.
Kuuwasha mwenge, kumulika mlima kilimanjaro, ......."Nimesahau kumalizia ubeti :A S tongue:"
Dah halaiki hiyooo..
 
Hujaona mwenge wa olimpiki?!, hapa kwetu ulikimbizwa na celebs- Mengi,Judith Wambura na kaseja.

Back
Top Bottom