Bungeni kuna mambo ehn, hao jamaa wamevaa groves za nini?
Wakina Sendeka, Mpina, Zambi walionesha msimamo wa kuipinga bajeti kwa hoja za msingi ila yaonekana wamenyamazishwaAfadhali yeye alionyesha kuwa thabiti na msimamo wake! Maana wabunge wengi wa CCM wanlalamika, halafu wakati wa kupitisha wanapitisha bajeti 100%!!
Kuna haja ya kutafakari kwa kina kama neno dhaifu ni wakati gani likitumika linaleta tafasiri ya tusi na wakati gani linakuwa na maana ya sifa. Kwa uelewa wangu hakuna binadamu asiye dhaifu labda kama tunaukataa udhaifu wakati tukiishi na udhaifu.
Sasa kama Rais ni dhaifu kiuongozi, hiyo ndiyo sifa yake, ingawa kwa upande mwingine anaweza akawa si dhaifu kwenye mambo mengine.
KIKWEEEEEEEEEEEETEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee CCM JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP, JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP , JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP
rais wako ni dhaifu tu,utake usitake.ila ni hodari upande wa ziara na totoz.Kuna haja ya kutafakari kwa kina kama neno dhaifu ni wakati gani likitumika linaleta tafasiri ya tusi na wakati gani linakuwa na maana ya sifa. Kwa uelewa wangu hakuna binadamu asiye dhaifu labda kama tunaukataa udhaifu wakati tukiishi na udhaifu.
Sasa kama Rais ni dhaifu kiuongozi, hiyo ndiyo sifa yake, ingawa kwa upande mwingine anaweza akawa si dhaifu kwenye mambo mengine.