PICHA: Yaliyojiri mkutano wa Mh. Msigwa... Nassari, Bananga wawasha moto

chadema wana gawa vifaa vya shule pamoja na jezi lakini kikwete nimeona picha juzi anakabiziwa jezi namba 77 halafu utaona mikataba atakayo saini au gharama aliyotumia akiwa huko..

Mkuu,yaan hilo la gharama ctaki hata kulickia coz inaumiza sana
 


Moja ya swali lililokuwa gumu kwa Mh. Msigwa ni lile lililoulizwa na mtoto alietaka kujua ni kwanini Rais Kikwete aliweza kutoa rambi rambi ya million 10 kwenye msiba wa Steve Kanumba na kushindwa kutoa rambirambi yoyote kwenye msiba wa marehemu Daudi Mwangos
i.

Mwisho wananchi waliweza kumchangia mjane wa mwangosi kiasi cha zaidi ya laki mbili.


Huyu dogo aliuliza swali la msingi sana na kulijibu vizuri inakua ngumu sana kwa mtu makini na mwenye akili timamu...
 
du kamchangia msanii mwenzake? Mch. Msigwa huna sehemu katika moyo wako ya kumsitiri dhaifu? ama kweli umemuweka hadharani.
Mkuu,namwona Mh MSIGWA anatembelea magongo, amepata matatizo gani? nini kimetokea?
 
Back
Top Bottom