PICHA: Yaliyojiri mkutano wa Mh. Msigwa... Nassari, Bananga wawasha moto

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
137
IMG_3665.JPG

IMG_3697.JPG

IMG_3711.JPG

IMG_3746.JPG

IMG_3775.JPG

IMG_3780.JPG

IMG_3782.JPG

IMG_3789.JPG

IMG_3801.JPG
IMG_3839.JPG

IMG_3849.JPG

IMG_3865.JPG

IMG_3857.JPG

IMG_3900.JPG

IMG_3911.JPG

IMG_3926.JPG

Leo mbunge Msigwa akisindkizwa na mbunge wa arumeru mashariki Mh. Nassari aka dogo janja wamepiga mkutano wa nguvu iringa mjini, katika mkutano huu kada wa zamani alie vua gamba na kuvaa gwanda pia alikuwepo ndugu bananga, Mkutano ulihudhuriwa na wakazi wengi wa mji wa iringa na vitongoji vyake huku wananchi wengi wakionekana kuvutiwa na viongozi hawa.

Akiongea na wananchi wajimboni hapa mbunge Nassari ameweza kuwaeleza wanairinga kwamba jimbo la iringa nawananchi wake walikua na mchango mkubwa katika kumfanya yeye apate ubunge kwakile alicho dai kwamba mbunge wao Msigwa alifanya kazi kubwa katika ushindi huo, akikiongea kwa nafasi yake Mh. Msigwa ameendelea kuwa taka wananchi wa iringa wawapuuzee na kudharau propaganda za wanaccm ambao wanajaribu kudanganya na kuleta fitina zisizo na msingi.

Katika hatua nyingine ameweza kugawa zawadi kwawatoto wa shule walio jitokeza mkutanoni hapo ikiwa ni pamoja na madaftari, kalamu na lula. pia ametoa jezi na mipira kwa timu zilizo kuwa zime muomba mkutanoni hapo.

Kwa upande wake kamanda Bananga amewaeeleza wana Iringa kuwa Mbunge waliyemchangua hawakukosea kwani umakini wake unadhihirika.

Wanachi waliweza kupata fursa yakuuliza maswali na pia kutoa michango na kero zao ili Mh. Msigwa awezekuwakilisha vyema bungeni.

Moja ya swali lililokuwa gumu kwa Mh. Msigwa ni lile lililoulizwa na mtoto alietaka kujua ni kwanini Rais Kikwete aliweza kutoa rambi rambi ya million 10 kwenye msiba wa Steve Kanumba na kushindwa kutoa rambirambi yoyote kwenye msiba wa marehemu Daudi Mwangosi.

Mwisho wananchi waliweza kumchangia mjane wa mwangosi kiasi cha zaidi ya laki mbili.

chanzo:MH. PETER MSIGWA BLOG
 
Nimependa how kila kitu kilivyo fanyika yaani maelezo na picha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
chadema iringa.JPG kwa umati huu ccm bye bye
 

Attachments

  • chadema iringa 1.JPG
    chadema iringa 1.JPG
    473.2 KB · Views: 98
  • chadema iringa 1.JPG
    chadema iringa 1.JPG
    473.2 KB · Views: 119
  • chadema iringa 2.JPG
    chadema iringa 2.JPG
    661.2 KB · Views: 86
Ni katika mkutano wa mbunge wa Iringa mjini, Peter Msigwa na wananchi wake ambao pia ulihudhuriwa mbunge wa Arumeru Joshua Nasari. Mtoto huyo alihoji ni kwanini Kikwete alitoa milion 10 kenye msiba wa Kanumba lakini akashindwa kutoa hata sent 5 kwenye msiba wa Mwangosi? swali hili livuta hisia za mamia waliohudhuria mkutano huo; ambao baadae walikoshwa na majibu ya mh. Nasari ambaye alijibu kuwa Kanumba alikuwa msanii na Kikwete ni msanii hivyo Kikwete alikuwa akimchangia msanii mwenzake.
Katika mkutano huo pia Mh Nasari aliongoza harambee ya kumchangia mjane wa marehemu Mwangosi ambapo alishika bakuli na kuzuka nalo uwanja mzima akichangisha fedha hadi kwa maaskarili waliokuwepo uwanjani. Pamoja na hayo yote; alishiriki ktk kugawa vifaa vya michezo kwa timu za mpira wa miguu za manispaa ya Iringa; na pia kugawa vifaa vya shule kwa wanafunzi wote wa shule za msingi waliohudhuria ktk mkutano huo.
 
mie nina jibu kwanini kikwete alichangia msiba wa kanumba 10 mil na hakuchanga hata senti msiba wa mwangosi, na majibu yenyewe ni haya:
1. Yeye ni mzee wa kuseek attention na kupenda kusifiwa kwa mazuri tu.hivyo basi msiba wa kanumba ulikuwa sehemu mwafaka kwa yeye kujipatia sifa kwani ulikusanya watu wengi wa rika tofauti na nafasi mbalimbali katika nchi hii kutoka maskini asiyekuwa na uhakika na mlo wa siku mpaka matajiri wanaokula na kusaza.
2.Vyombo vingi vya habari vilikuwa busy kufanya coverage ya tukio lile kuanzia televisheni ya ccm (tbccm) mpaka vyombo makini vinavyoaminiwa na watanzania wengi kama itv hivyo lengo lake la kuuza wema wake /ukaribu wake na watu wote bila ubaguzi lilitimia kirahisi.
3.Mwangosi(marehemu), aliutwa na mauti akiwa kwenye harakati za kufanya coverage ya mkutano wa cdm, hivyo kwake huyo ni upinzani kwani waandishi wake kama kina issa michuzi huwezi kuwakuta katika matukio kama hayo yasiyokuwa na bahasha za khaki.
4.Kwakuwa Mwangosi(marehemu) alipatwa na umauti katika tukio la vurugu za polisi dhidi ya chama cha upinzani, basi msiba huo haumuhusu yey kama mwenyekiti wa chama cha ccm, wapinzani ambao ni cdm washughulike na tatizo lililompata kada wao.na kuthibitisha hilo hajawahi kutoa tamko lolote kuhusu mauaji haya ya kinyama ya mwandishi huyu wa habari.
5.Marehemu Kanumba alikuwa maarufu kuliko marehemu Mwangosi.mwangosi amekuwa maarufu baada ya kuuwawa kinyama wakati kanumba alikuwa maarufu akiwa hai, kwa maana ya kujulikana na watanzania wengi.so umaarufu wa marehemu hawa wawili umeleta tofauti hiyo ya reaction ya mr. kikwete kwao.
 
Wale wanaofanya kazi nchi hii wanajulikana. Wavivu wako majuu wanakokotwa na farasi kuwakumbusha utoto wao. Msigwa amekuwa mfano wa kuigwa katika kumtetea mnyomnge. Mungu amjalie afywa njema aweze kuendeleza mapapambano 2015 hadi Tanzania ikombelewe kiukweli.
 
Katika mkutano huo pia Mh Nasari aliongoza harambee ya kumchangia mjane wa marehemu Mwangosi ambapo alishika bakuli na kuzuka nalo uwanja mzima akichangisha fedha hadi kwa maaskarili waliokuwepo uwanjani. Pamoja na hayo yote; alishiriki ktk kugawa vifaa vya michezo kwa timu za mpira wa miguu za manispaa ya Iringa; na pia kugawa vifaa vya shule kwa wanafunzi wote wa shule za msingi waliohudhuria ktk mkutano huo.

Nimependa hapo kweye kugawa vifaa vya shule, keep it up waheshimiwa....magamba wao wanawaza tumbo tu ndo maana wanagawa ubwabwa kwa sana
 
Wale wanaofanya kazi nchi hii wanajulikana. Wavivu wako majuu wanakokotwa na farasi kuwakumbusha utoto wao. Msigwa amekuwa mfano wa kuigwa katika kumtetea mnyomnge. Mungu amjalie afywa njema aweze kuendeleza mapapambano 2015 hadi Tanzania ikombelewe kiukweli.
Mkuu ivi kunatofauti gani kati ya ule mkokoteni unao kokotwa na farasi na ule wakwetu shinyanga unaokokotwa na punda?au kwasababu wao wameweka gurudumu za ghuta sisi tumeweka za gari zilizotumika?au na yeye anataka kuitwa mzeee wa FARASI?
 
amakweli chadema ni noma,
mikutano ya ccm ikihudhuriwa na watoto huwa wanakuwa wamekuja kuwashangaa akina khadija kopa,diamond n.k...lakini
kwa chadema wanakuja kuuliza maswali yenye hoja...kweli ccm kwishney
 
Jib la kwanini kijwete alichangia mil 10 kwanye msiba wa kanumba na kuchangia hata senti kwa msiba wa mwangosi 1. Msiba wa kanumba ulikuwa ni neutral political death while wa mwangousi ulikuwa na political smail ambapo serikari ya ccm + polisi wanatuhumiwa kuhusika. 2. Msiba wa kanumba ulikuwa na populality na easy kwa jk kutafuta huruma ya watanzania kwa chama chake. It was easy to attract political sense from the mass.
 
chadema wana gawa vifaa vya shule pamoja na jezi lakini kikwete nimeona picha juzi anakabiziwa jezi namba 77 halafu utaona mikataba atakayo saini au gharama aliyotumia akiwa huko..
 
du kamchangia msanii mwenzake? Mch. Msigwa huna sehemu katika moyo wako ya kumsitiri dhaifu? ama kweli umemuweka hadharani.
 
Mkuu ivi kunatofauti gani kati ya ule mkokoteni unao kokotwa na farasi na ule wakwetu shinyanga unaokokotwa na punda?au kwasababu wao wameweka gurudumu za ghuta sisi tumeweka za gari zilizotumika?au na yeye anataka kuitwa mzeee wa FARASI?


Yeye na Ally choki hawana tofauti
 
ccm choka mbayaaaaa, CMD pamoja amakamanda kazi ni moja tu kuweka wananchi kwenye mstari ili 2015 ushindi daima
 
Back
Top Bottom