Picha Ya Mh. Lowassa: "I am Fit For Fight"

mkuu, alionekana kwenye TBC baada ya press conference, kwa mtu makini anagundua upande wa kushoto, hasa mkono, hauko active...nilimwona alipokuwa anatembea, for a second or two, ni kama wa sanamu tu. Na hapo kama walijaribu ku lobby press (ambayo ofcourse, ilishindwa vibaya, maana kwa wanaojua, magazeti karibu yote front page main story headline ni ile ile...Lowasa yuko fit and blah bla...) conclude. Hawa nao sijui wataacha lini kununuliwa.
Alikuwa anatembea kama robot,kha hujafa hujaumbika kweli
 
Apambane na nani? Angeanza na hao Waarabu wa Dubai aliyowauzia ardhi ya Wananchi wa asili ya kimasai.
 
Ok Let us Compare and Contrast na picha zake za kabla ya Stroke:

Picha hii:

1.jpg


Ilinganishe na hizi:

lowasa.JPG



Edward%20Ngoyai%20%20Lowassa.jpg


 
Ok. Tofauti ninazoziona ni:

1. Eye lid kama imeshuka kidogo
2. Jicho la kushoto na kulia yana tofauti kidogo
3. Lips za juu au midomo ya juu kama imekosa nguvu. ie ya chini inafunguka ya juu . . .
4. Upande wa kushoto una tofauti kiasi na picha zake za nyuma
5. Kipanda uso kushoto kimeshuka kidogo

All in all anaonekana Kisaikolojia yuko fit na tayari kwa "Mapambano" (Usiniliulize maana siyajui).

Uso wa Mamaa una ujumbe mzito:

1. Mawazo mengi
2. Huzuni
3. Ni wazi alikuwa analia au machozi yanamlenga lenga

Mengine changieni . . .
 
Ok. Tofauti ninazoziona ni:

1. Eye lid kama imeshuka kidogo
2. Jicho la kushoto na kulia yana tofauti kidogo
3. Lips za juu au midomo ya juu kama imekosa nguvu. ie ya chini inafunguka ya juu . . .
4. Upande wa kushoto una tofauti kiasi na picha zake za nyuma
5. Kipanda uso kushoto kimeshuka kidogo

All in all anaonekana Kisaikolojia yuko fit na tayari kwa "Mapambano" (Usiniliulize maana siyajui).

Uso wa Mamaa una ujumbe mzito:

1. Mawazo mengi
2. Huzuni
3. Ni wazi alikuwa analia au machozi yanamlenga lenga

Mengine changieni . . .

Ila kiukweli mkewe (singida line) bado analipa aisee! Dah!
 
Huyu atakufa mwezi wa 11 mwaka 2015 baada ya kuchanganyikiwa kwa kukosa URAIS.....

Kwa nn unautaka urais kwa nguvu??
Kiongoz nzuri ni yule asiyetaka kuongoza, wananchi wanamuomba awaongoze na sie UCHU!!!

Mali zote ulizotuibia, wataka ikulu????

Huyu mbona tunae hadi anamtumia TB Joshua. Sikuona mantiki ya TB Joshua kusema tumuombee Lower-Sir apone kwakuwa yeye ndo atakuwa rais wetu. Sasa kama anaweza kumtabiria kuwa rais 2015 ina maana atakua hai pia kwahivyo kumuombea au kutomuombea hakutabadili kitu (kama anayotabiriwa ni kweli).
 
ni kama alipata stroke ya upande wa kushoto...jicho lake la kushoto linaonekana wazi liko mushkeli, pia mdomo upande wa kushoto na ni kama hata shavu la kushoto linaonekana kushuka zaidi
 
[h=2]
icon1.png
Re: Picha Ya Mh. Lowassa: "I am Fit For Fight"[/h]
Angalia Mkono wa kushoto . . . .

Hata hivyo Mh. uso wake unaonyesha ushujaa wa ajabu ingawa Mrs anaonekana amezama kwenye lindi kubwa la mawazo . . .

Na hilo jicho lake la kushoto vipi? Stroke?

 
Pia angalia jicho lake LA KUSHOTO HALIKO NORMAL likakuwa kama linajifunga vile; pia upande wa kushoto wa uso wake unaelekea kama una matatizo!!

Msije tu mkatuambia pete inampwaya, manake ma-investigators mmejaa huku.
 
wale wataalamu wa kusoma picha na kuzichambua, mnasemaje kuhusu picha hii kufuatia usemi wa mh. Edward lowassa, mbunge wa monduli na waziri mkuu mstaafu kuwa "yuko fit kwa mapambano"? Source: mjengwa blog::habari,picha,matangazo


1.jpg


tbc1 iliripoti taarifa za ujio wa waziri mkuu mstaafu edward lowassa akitokea ujerumani. Lowassa alitoa ufafanuzi wa safari yake ya ujerumani na utata uliotawala juu ya afya yake. Ameweka wazi kuwa afya yake ni safi; hana kisukari wala stroke. Kwamba yuko fit kwa mapambano.



mimi nilichoona ni kwamba mke wake ni mrembo ila yupo kwenye lindi la mawazo mengi (mtazame usoni)!!!
 
Mficha ugonjwa mauti yatamuumbua God forbid!! Lakini kama anadanganya basi njia ya muongo fupi hasa katika haya mambo ya magonjwa..Ila aache ile mipombe mikali huyu mzee inamsababishia matatizo sana.

aaaaaarrrrrrrrrrgggggggggg............................mwache aendelee kuibugia ili kututhibitishia kuwa yuko fit kwa mapambano!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom