Picha ya leo

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Maarufu tembe nje kidogo ya manispaa ya dodoma
 
Attachments

  • Image001.jpg
    Image001.jpg
    178.4 KB · Views: 165
Umaskini umesababishwa na nini?

Nadhani tungejua kwanza umaskini kwenu ni nini? ndipo tujue sababisho la umaskini.
NINGESIHI PIA KWAMBA KWA PICHA HIYO HAIMAANISHI HUYO MTU NI MASKINI KWANI YAWEZEKANA ANADUMISHA MILA NA DESTURI ZA KWAO
 
Kudumisha nini....mila na desturi? Are you serious? Kama ndivyo basi soon nategemea nyumba kama hiyo (tembe) ijengwe mtaa wa Samora (Dar) kwani wanaopenda kudumisha mila na desturi zao nadhani wapo kila mahali na sio vijijini tu!
 
jibu nzuri sana...safi kabisa
 
Umaskini umesababishwa na nini?
unacheza wewe, unatuuliza sisi swali gumu namna hii? MKUU WA NCHI
ameshasema hajui kwa nini sisi ni maskini, sasa wewe unataka tutoe
majibu gani kumpinga MKUU wa NCHI/ JIBU LA MKUU WA NCHI NI FINAL

Jibu zaidi ya hilo ni utovu wa nidhamu
 
Hayo ni maendeleo ya miaka 50 ya uhuru. Tumethubutu, tumeweza na tunazidi kusonga mbele. Kidumu chama cha mapinduzi na zidumu fikra za mwenyekiti
 
huyu raisi wa nchi yeye mwenye nyumba iliyoezekwa na nyasi kapenda mwenyewee!! binadamu ubunifu bana..unaona huyu mwenzie kaezeka na viroba na takataka nyinginezo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom